MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

1: Sisi watatu ni umoja,
2: Hapo mwanzo alikuwako NENO nae NENO alikuwako kwa Mungu nae NENO ni Mungu
3: Mungu akasema (alitoa NENO) iwe nuru
4: Ibrahimu asijakuwako mimi nipo
5: Mimi ndio Bwana wa Sabato ( ndie mwenye Sheria, ndiye aliyetunga sheria )
6: Adamu na Ava walijificha waliposikia SAUTI (NENO) likipita Bustanini
7: Philipo niko na wewe siku zote unaniambia nikuonyeshe Baba
8: Mitume wanapewa AGANO na Mungu mwenyewe kuwa MTAKACHOKIFUNGIA DUNIANI KITAKUWA KIMEFUNGWA MBINGUNI NA MTAKACHOKIFUNGILIA DUNIANI KITAKUWA KIMEFUNGULIWA MBINGUNI

YEYE SIO WA KUTUOMBEA
YEYE NI WA KUHUKUMU, YEYE NI WA KUSAMEHE, YEYE NI WA KUGUNGA NA YEYE NDIO WA KUFUNGA,

YEYE NDIE ALPHA (MWANZO) na ndio OMEGA (MWISHO)
Jehovah's don't like this verse
 
Umataka kupotosha na takataka zako hizo eti clear word. Nimekwambia njoo na statement ya kanisa ikionesha wanaikubali na ndio wachapaji wa hiyo sijui biblia
Sijajua unachokataa ni kitu gani hasa...? Hiyo Clear Word Bible Itakuja...GC haijawahi kukanusha hili...
 
Sasa tuje hiyo umayodanganya watu ni biblia ya Wasabato iliandikwa na nani? Nakuwekea hapa chini.

Uache upotoshaji kama ni ya Wasabato mbona hakuna ya kiswahili? Au Watanzania hakuna wasabato? Mbona hakuna ya kijerumani au ujerumani hatupo?

Unaruka na vitu visivyo na ushahidi vya kuunga unga

The Clear Word, originally published in March 1994 as the Clear Word Bible, is an English-language "devotional paraphrase of the Bibleexpanded for clarity".[1][2] It is an interpretive text of the Bible written as a personal devotional exercise by Jack Blanco, former dean of the School of Religion at Southern Adventist University, to be an additional study tool and devotional alongside the Bible. Major portions of the translation are material added by the author.[3] It is printed in chapter-and-verse format, two columns to a page.

Haya muandishi katajwa hapo imeandikwa wapi ni ya Wasabato? Yani akitokea msabato mmoja akaandika makala zake na kuzi publish ndio zimekuwa za Wasabato?

Acha kupotosha au mimi nikiandika leo kuzini sio dhambi kwakuwa mimi ni muumini wa Wasabato ndio umekuwa msimamo wa Wasabato?

Padre kuzini na Muumini hakuuchafui ukatoriki
 
Hujui chochote kuhusu canon. Hujui chochote kuhusu Talmud wala synod wala septugiant. Huyu Martin Luther ni wa juzi, Biblia ni kitabu cha kale na waloongeza na kupunguza vitabu ni haohao wa kale. Shida yako unamponda Martin Luther kwa kuukosoa ukatoliki
Apokrifa means "those have been hidden away"
 
Hujui chochote kuhusu canon. Hujui chochote kuhusu Talmud wala synod wala septugiant.
Hapo kwenye Red! Kwanini unachanganya mlenda na chai...?

Huyu Martin Luther ni wa juzi
Mpaka karne ya 15... Biblia ilikuwa na Vitabu 72/73... Martin baada ya kutengwa na Kanisa ndipo akanyofoa baadhi ya Vitabu...

, Biblia ni kitabu cha kale na waloongeza na kupunguza vitabu ni haohao wa kale. Shida yako unamponda Martin Luther kwa kuukosoa ukatoliki
Biblia wanayotumia Catholics na Eastern Church ni ile ile ya mwanzo yenye vitabu 72/73
 
Uache upotoshaji kama ni ya Wasabato mbona hakuna ya kiswahili? Au Watanzania hakuna wasabato?
Nisikilize we panya...
Huu mkakati unaenda taratibu....ni infilitration process...

Ni kama ambavyo huku Tz Wasabato bado hamjaanza ku-ordained women ila wenzanu marekani wameshaanza...Nyie mtakuja kukubali taratibu..ni muda tuu
 
Sijajua unachokataa ni kitu gani hasa...? Hiyo Clear Word Bible Itakuja...GC haijawahi kukanusha hili...
Nimekuwekea hapo mwandishi izo takataka zako na sijui GC ikanushe nn ikanushe wewe kung'ang'ania kuwa biblia ulioitaja ni ya wasabato

This church is working to valuable terms, waache kushungulika na utume waje wakanushe blog za kishetani zisizo na mbele wala nyuma.
 
Apokrifa means "those have been hidden away"
Sasa ni vitabu gani vimekuwa hidden.. ??

Apokrifa books zinajulikana bana ...(Tatizo unachanga Deuterokanoni books na Apokrifa)

Apokrifa mf. zipo Injili 20..., maana wakati wa ukusanyaji wa Biblia kulikuwa na Injili 24 ila zikachaguliwa 4 tuu...Sasa zile zilizobaki 20 ndio tunaita Apokrifa...Au Apokrifa Gospel
 
Nisikilize we panya...
Huu mkakati unaenda taratibu....ni infilitration process...

Ni kama ambavyo huku Tz Wasabato bado hamjaanza ku-ordained women ila wenzanu marekani wameshaanza...Nyie mtakuja kukubali taratibu..ni muda tuu
Kila anaesoma hapa atajua what kind of a person u are, umeacha kujibu hoja zabgu zenye ushahidi unaanza matusi. Nimeweka wazi itabaki kumbukumbu kwa kuula atakaesoma hapa, mimi panya wewe mwanadamu. Ubarikiwe

Kazi njema
 
Sanamu ya Maria inatuonyesha na kutukumbusha mama wa Mkombozi wetu

Kwenye utatu mtakatifu, Mama Maria ndio Binadamu pekee aliye ishi na kuenjoy utatu mtakatifu wa Mungu, 1: Mimba yake ilikuwa ni kwa uwezo wa Roho mtakatifu, na aliambiwa mimba itatungwa baada ya kumpokea roho mtakatifu, na pia yeye ndie Binadamu wa Kwanza kumpokea Bwana Yesu, so kwenye utatu Mama maria ni kiungo kikubwa kati Mungu na Mwanadamu.

Mama Maria ni Sanduku la Agano, Sanduku la Agano ndilo liliokuwa linakaa Sheria alizopewa Musa, Na Yesu ndio Baba wa hizo Sheria na ndio Sheria yenyewe na alikaa ndani ya Mama Maria Mkingiwa wa Dhambi ya Asili,
kwenye Sanduku la Agano kulikuwa na Sanamu za Malaika wawili (makerubi) waliokuwa wanaangaliana Nyuso zao, na Mbawa zao ziklikuwa zinagusana na kila sanduku lilipokuwa linapita watu walikuwa wanasujudu, Je walikuwa wanazisujudia hizo Sanamu za Makerubi?
Wakatoliki tunapoona Sanamu ya Bikira Maria , tunalikumbuka Sanduku la Agano lililokuwa na Bwana wa Sheria (Yesu)
Napenda kusemaga hivi
KWA WAKATOLIKI BIKIRA MARIA SIO MUNGU, HASAMEI DHAMBI ILA NI BINADAMU WAKIPEKEE KABISA

jiwe la majiwe , Otorong'ong'o , MTAZAMO ,
Aagh wapi upupu mtupu huu usio na kifani unavyoelezea utafikiri ndio kweli za biblia kumbe ni maneneno ya kuokokoteza kwa makadinari na maagizo ya roman pontif mwanadamu mwenzetu mdhambi anayemtaji kristo kama mimi
Je maria alipopewa ujumbe wa gablriel hakuwa na roho mtakatifu?
Pili umejaribu kuspeculate vitu vilivyoko kwenye hekalu la mbinguni kwa ufahamu wako wa kuokotezaokoteza sanduku la agano na sheria ya Mungu amri 10 ambazo hamzitunzi zote kwa ukamilifu.biblia ndio mwongozo nikikushauri ujifunze maandiko ya sheria ya neema kwa uongozi wa Roho maana roho atakuongoza kwenye kweli yote itabidi uondoke huko kwenye misale ya wafu mapokeo yake yakiwemo maagizo ya wanadamu wenye kugeuza kwa matashi yao maandiko ya Haki ya Mwenyezi Mungu
 
Hapo kwenye Red! Kwanini unachanganya mlenda na chai...?

Mpaka karne ya 15... Biblia ilikuwa na Vitabu 72/73... Martin baada ya kutengwa na Kanisa ndipo akanyofoa baadhi ya Vitabu...


Biblia wanayotumia Catholics na Eastern Church ni ile ile ya mwanzo yenye vitabu 72/73
Ngoja nikuchanganyie tu. Historia ya Biblia ni pana sana. You need to dig deeper in order to understand. Huwezi kujua historia ya Biblia bila kujua baadhi ya vitu vya msingi. Historia inaniambia vitabu vya apokrifa viliongezwa na baraza la Trent karne ya 16, waraka wa 3 wa wakorintho uliondolewa kipindi fulani kwa sababu ulipingana na kikundi fulani cha watu. Narudia kusema, huyu martin Luther ni wa juzi tu. Walioamua vitabu vipi viwemo au visiwemo kwenye Biblia ni wale walokaa mabaraza ya Synod ya Jamnia na Synod ya Trent
 
Acha vichekesho wewe...

Biblia yenu mpya (Clear Word Bible) inanesha jinsi mbavyo hamuamini katika Utatu Mtakatifu ila mnaamini ktk Polytheisism...

Hata Ellen G White hakuamini Utatu Mtakatifu..
Naona tofauti ya mtu anayepiga domo na anayeandika kwa vigezo na reference
 
Historia inaniambia vitabu vya apokrifa viliongezwa na baraza la Trent karne ya 16, waraka wa 3 wa wakorintho uliondolewa kipindi fulani kwa sababu
Sasa vitabu 7 alivyoviondoa Martin Luther vinauhusiano gani na Apokrifa books...?? Vitabu vilivyoondolewa na Luther havijawahi kuwa Apokrifa books...labda Apokrifa kwa Waptotestant....
 
Back
Top Bottom