Pole sana inanyesha huamini Biblia.Mafungu niliyoweka hapo yote yanatoka katika Biblia. Maria ni mfu, mkipigia magoti sanamu yake, jueni mnaabudu mfu. "Kufuru ikioje" Ndiyo maana Bibli
Ile ilikuwa ni ahadi, "nakuambia leo hivi, utakuwa nami peponi". Ahadi hii ni kwa yeyote amwamimiye Yesu awe hai ama amekufa ahadi itatimia mara tu Yesu ajapo. "Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao walalao mauti,msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.Maana,ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka,vivyo hivyo na hao waliolala katoka Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala maut.Kwa maana Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu, nao walikifa katika Kristo watafufuliwa kwanza, kisha sisi tulio hai, tuliosalia,tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu,ili tumlaki Bwana hewani, na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.( 1 wathesalonike 4:12-16).
Soma kwa makini mafungu hayo ya Biblia. Inasema tutakuwa na Bwana milele, kama Yesu alivyomwahidi yule mwizi kuwa atakuwa naye peponi, hii ahadi hukamilika Yesu ajapo.
Msijidanganye kwa hadithi za kiroma ili kuhalalisha ibada ya wafu.someni Biblia wenyewe msingoje kuhadithiwa Padri.