MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Naona ssa unakuja katika msitari.
Mstari gani...? Unafikiri mimi ni mwehu kukuliza uniambie wapi mbinguni inasemekana kuna Hekalu....?

mwanzo ulikuwa unakataa
Sio mwanzo tuu mpaka mwisho wa dunia hii nitakataa kuwa mbinguni hakuna hekalu....
Rejea hapa
Ufunuo 21:22... "Nami sikuona Hekalu ndani yake kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana Kondoo ndio hekalu....

Huo upuuzi na uzushi mnataka kumpa nani...?

kuwa Hakuna hekalu mbinguni, Biblia imekujibu kuwa hekalu liko mbinguni na ndio lile Musa alionyeshwa mlimani. Ukaja na Hoja kuwa Yesu ni Mungu hivyo anaomba kwa nani? Biblia imekujibu kuwa Yesu ni Kuhani wetu Mkuu akituombea kwa Baba.
Unataka kuniambia mbinguni kuna miungu wa tatu..?
 
Yesu Yuko katika hekalu la mbinguni akifanya huduma ya upatanisho
Narudia tena MBINGUNI HAKUNA HEKALU...

kabla ya kurejea duniani kuwachukua wale waliotubu na kumuamini, hao ndio waliomwamini na kutubu dhambi zao
Unaposema Yesu yupo anafanya upelelezi inamaana kazi iliyomleta hapa duniani na kifo cha Msalaba ilikuwa ni bure siyo...??
 
Ngoja wajuvi wa mambo waje..!!!
Ebu tuambie bwana mheshimiwa, martin Luther alifuta vitabu gani, vitaje maana philosophy ya martin Luther juu ya u protestant wote tumeisoma sasa wewe hayo mengine ya uongo umeyapata wapi? Ndio nyie mnabadilisha majina ili kutetea hoja yako ili wadau wakuonw unajua ili wafunguke na wewe ujitiw umesoma ili wakuone unajua, nandio nyie mnaopita mitaani eti mnasema Paulo mnafiki na Yale aliyoandika kwenye vile vitabu vyake nivya kubuni, soma sana kisha ondoa mahaba na unafiki utaelewa tuu.

Deogratius Kisandu,
 
. Hii ndio huitwa hukumu ya upelelezi, matendo yetu wote yanachunguzwa ikiwa ni mema au mabaya, kama tumemkiri Yesu Kristo ama tumemkataa. Lengo la hukumu hii, ni kuwabagua kondoo na mbuzi.
Mafundisho ya Hukumu ya upelelezi ni.matokeo ya tafsiri Potofu ya neno la Mungu aliyofanya Bwana Hiram Edson, na fundishi hili ilikuwa ni kywafariji watu baada ya uongo wa kutokurudi kwa Yesu Oct 22, 1844..,

Kwamba Yesu alipotea njia na kuingi patakatifu pa Patakatifu na yupo huko akifanya hukumu ya Upelelezi...

Kumbe fundisho hili la kuzimu la hukumu ya Upelelezi likuwa ni kwajili ya kywafariji na kuwahadaa watu na kuficha zahma ya kutabiri ujio wa Yesu..

Sasa ngoja twende na historia yenu nikuoneshe upuuzi wa Wasabato..
 
Otorong'ong'o,

Safi swali zuri. Yesu alikufa msalabani ili kulipa deni la dhambi kwa niaba ya wanadamu wote ambao pasipo kifo cha Yesu Kristo sote tungeangamia milele. Sasa kazi yake anaikamilisha katika Hekalu la mbinguni, soma hapo juu upate maarifa. mbinguni kuna hekalu na Yesu Kristo anahudumu hapo kabla ya kurudi tena duniani kuchukua wateule wake.
"Kwa sababu Kristo hakuingia katika patakatifu palipofanyika kwa mikono, ndio mfano wa patakatifu halisi; bali aliingia mbinguni hasa, aonekane sasa usoni pa Mungu kwa ajili yetu" ( Waebrania 9:24).

Akiisha kukamilisha kazi ya upatanisho, atarejea duniani kuchukua wateule wake.
"kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu".

Kwa yeyote anyekataa ukweli huu, na huduma ya Yesu katika Hekalu la Mbinguni, huyo ndiye mpinga kristo aliyetajwa kwenye Biblia.
 
Yesu alikufa msalabani ili kulipa deni la dhambi kwa niaba ya wanadamu wote ambao pasipo kifo cha Yesu Kristo sote tungeangamia milele. Sasa kazi yake anaikamilisha katika Hekalu la mbinguni,
Kazi yote Yesu aliimaliza pale Msalabani....Ndio maana tunasema yote Yesu aliyamaliza pale Msalabani....

Yesu hakuacha kiporo eti aje amalizie hicho kiporo hekaluni....kufuru ya hali ya juu kabisa hii....
 
Kwa yeyote anyekataa ukweli huu, na huduma ya Yesu katika Hekalu la Mbinguni, huyo ndiye mpinga kristo aliyetajwa kwenye Biblia.
Kitendo cha Wasabato, kupinga ufufuko wa Yesu na kusema Yesu kufa msalabani ni kazi bure, wasabato moja kwa moja siyo Wakristo...

Wasabato kuitwa cult sio kwa bahati mbaya...Mambo haya ya kina Hiram Edson ya kuoindisha maandiko ili kufarijiana ndio yanawaondoa ktk Ukristo..
 
Tangu lini mwabudu sanamu akawa mwamuzi wa yupi awe mkristo na yupi asiwe mkristo? Roman Catholic Church ni mpinga Kristo, ndio maana hawamwamini Yesu bali humwamini Maria. Mambo ya Ukristo hayawahusu.
 
Yesu alipotea njia akaingia wapi ile tarehe 22oct 1844...? Hebu nikumbushe maana nimesahau...
 
Nipe sababu ya wewe kuweka picha ya Baba, mama, Wewe, au ndugu kwenye album au frem...?
Nimeuliza sanamu sio picha. Hivyo ni viwili tofauti. Na pia Je wakati wa kuomba Mungu natazama picha hizo?

Ninaandiko linalokataza kuchonga sanamu kwenye biblia nikupe?
 
Good, umeshasema wameziweka kanisani... Ishu unaelewa kwanza maana ya kuabudu au unakurupuka usingizini??? Wenyewe wanasema wanaamini kwa Mungu mmoja aliyezifanya mbingu na nchi we unawaforce wanaabudu sanamu....kama kweli wanaabudu sanamu waje hapa waseme wenyewe...
Mbona wewe unamswalia mtume lakini hawakuingilii....Jaman ombeni neema ya kuijua kweli na kweli itawawek huru..
Kwanini sanamu iwekwe kanisani? Its a a simple question. Kama huwezi Jibu kaa Kimya. KUMSWALIA Mtume Sio Kumuabudu Mtume. Kuna tofauti kunwa Hapo.
 
Nimeuliza sanamu sio picha. Hivyo ni viwili tofauti. Na pia Je wakati wa kuomba Mungu natazama picha hizo?

Ninaandiko linalokataza kuchonga sanamu kwenye biblia nikupe?
We jamaa acha zako, sanamu inapresent kitu na picha inapresent kitu, vyote sawa tu... Tofaut ni ndg sana matumiz yaleyale, moja ipo kwenye keny karatac flat moja ipo kwenye realy shape bt zte zmeganda hazchek wala hazinuni[emoji21] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Upeo wako ni mdogo sana.[emoji23] napoyexa mda kwa mtu ambae hajui tofauti ya sanamu na Picha [emoji115]
 
We jamaa acha zako, sanamu inapresent kitu na picha inapresent kitu, vyote sawa tu... Tofaut ni ndg sana matumiz yaleyale, moja ipo kwenye keny karatac flat moja ipo kwenye realy shape bt zte zmeganda hazchek wala hazinuni[emoji21] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Waabudu sanamu utawajua tu. Mnatetea sanamu utafikiri mnaweza kumdanya Mungu kuwa hajui tofauti kati ya Picha na sanamu. Mdanganye mwandamu mwenzio lakini kamwe huwezi kumdanganya Mungu. Aliagiza usijifnyie sanamu ya kuchonga mfano wa kitu chochote na katika ufunuo amezitaja kabisa. sanamu za miti, shaba, mawe,fedha na dhahabu. hizi ndo sanamu zinazosemwa hapa.

"Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda." ( Ufunuo 9:20)
 
e77d5c4a42b353e978d3955bf4a08e98.jpg
 
kitaja embu jaribu kutoa ufafanuzi wa maneno yafuatayo
-kusujudu
-kuabudu
-kutumia
-kuwakilisha
-kutumika kama
-kusadiki
-kuamini
NOTE:jibu kwa kutumia uwelewa wako na sio Bible
 
Waabudu sanamu utawajua tu. Mnatetea sanamu utafikiri mnaweza kumdanya Mungu kuwa hajui tofauti kati ya Picha na sanamu. Mdanganye mwandamu mwenzio lakini kamwe huwezi kumdanganya Mungu. Aliagiza usijifnyie sanamu ya kuchonga mfano wa kitu chochote na katika ufunuo amezitaja kabisa. sanamu za miti, shaba, mawe,fedha na dhahabu. hizi ndo sanamu zinazosemwa hapa.

"Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda." ( Ufunuo 9:20)
Ukwel hujakuweka huru kijana, sanamu ni kitu unachokipenda ukakipa nafac ya kwanza na kumwacha Mungu... Mungu aliwapa amri ile kwan watu wale walikua wanavipenda sana vitu hvyo ulivyoorodhesha.... Kwa sasa kama ww unanapenda kutafuta pesa hadi ukafikia hatua ya kutoudhuria ibada hyo ndiyo sanamu yako... Nadhan unahitaj elimu ya biblia na imani kwa ujumla.
Asante.
 
Nimeuliza sanamu sio picha. Hivyo ni viwili tofauti
Kabla ya kutrngeneza sanamu lazima uwe na picha ya kitu unachotaka kutengeza...hivyo bila picha hakuna sanamu....
Vipi kuna tofauti kati ya wali na ubwabwa...??

. Na pia Je wakati wa kuomba Mungu natazama picha hizo?
Literally hutazami picha ila unatazama kile kinachowakilishwa na hiyo picha....
Ukiangalia picha ya Nyerere kwani unamtazama Nyerere au picha inayomwakilisha Nyerere..?

Ninaandiko linalokataza kuchonga sanamu kwenye biblia nikupe?
Ngoja nikusaidie
Ni Kutoka 20:4-6

Unataka tuijadili..?
 
Back
Top Bottom