Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mstari gani...? Unafikiri mimi ni mwehu kukuliza uniambie wapi mbinguni inasemekana kuna Hekalu....?Naona ssa unakuja katika msitari.
Sio mwanzo tuu mpaka mwisho wa dunia hii nitakataa kuwa mbinguni hakuna hekalu....mwanzo ulikuwa unakataa
Rejea hapa
Ufunuo 21:22... "Nami sikuona Hekalu ndani yake kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana Kondoo ndio hekalu....
Huo upuuzi na uzushi mnataka kumpa nani...?
Unataka kuniambia mbinguni kuna miungu wa tatu..?kuwa Hakuna hekalu mbinguni, Biblia imekujibu kuwa hekalu liko mbinguni na ndio lile Musa alionyeshwa mlimani. Ukaja na Hoja kuwa Yesu ni Mungu hivyo anaomba kwa nani? Biblia imekujibu kuwa Yesu ni Kuhani wetu Mkuu akituombea kwa Baba.