MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Mimi ni mkatoliki, nilibatizwa mwaka wa 1970, nilizaliwa mwaka 1968 NA sasa Nimefikisha miaka 50 na miezi kadhaa. Kwa kweli niseme tu, hizo kashifa dhidi ya kanisa letu hazikuanza Leo, zipo tangu zamani miaka ya nyuma sana na ziliasisiwa miaka 1880 NA waprostetant wa karne hizo NA baadaye walikuja wasabato akina Helen white na baadaye kabisa walikuja mathehebu ya kilokole ambapo mpaka wanaendeleza chuki zao NA kashifa zao dhidi ya kanisa NA Pope Francis.

Mimi nilibahatika kusoma baadhi ya nyaraka au vitabu mbalimbali vinavyoelezea historia ya mapapa NA ukatoliki, pope wa Kwanza kabisa ambaye kaburi lipo Vatican City pale Saint Peters Busilica, alikuwa mtume PETRO NA baadaye wengi wamekuja NA kuondoka duniani maana duniani tunapita tu, makao yetu ni mbinguni kwa Baba. Kuna suala LA kuwaombea materemu, waprotestanti wanalipinga hilo, lakini wanasahau kusoma MT 12:32, kumbe upo msamaha baada ya kifo. Kwahiyo, sisi hutuabudu sanamu na wala hatumtegemei mwanadamu kuishi bali tunayo SALA YA BABA YETU rejea misale ya waamini ambayo hiyo sala imerejea andiko LA biblia Mt 6:9-13.

Kuhusu sala ya bikira Maria, sisi hatumwabudi bali tunamwamba kupitia tu kwake kwa kuwa MUBGU mwenyewe kupitia malaika akimtamkia kuwa amebalikiwa NA kupewa NEEMA na Bwana NA Bwana yu pamoja naye na atamzaa MTOTO mwanaume NA jina lake ni YESU, mwana wa aliyejuu, Mungu mkuu rejea Lk 1:26-31, Isa 7:14, 9:6, MT 1:21-23, Lk 1:30-35.

Pia, Mama bikira watu walikuwa wakimfuata kumwomba amwambie mwanaye awatekelezee mahitaji yao, rejea wakati wa harusi ya Kana, hata DIVAI ilipokuwa ilipokuwa imewatindikia kwa biblia ya kiingereza by Gideon anasema when the wine ran out, the mother of Jesus said to the Jesus, they have no wine and Jesus said to his mother, my hour has not yet come and mother told the servants do whatever he tells you, Ina maana hawa watumishi wa waliomba kupitia kwa mama Maria na Yesu alifanya muujiza kwa kubadili maji kuwa divai, Yn 2:1-11.

Kwa Leo naishia hapa, nitaendelea tena kujibu hoja kwa kadiri MUNGU atakavyoniongoza.
Bikra Maria amebarikiwa , ni kweli ,hakupewa kazi ya kuombea watu
Ila muombezi wetu ni Yesu tu
1Timotheo 2:5Maana yuko Mungu mmoja, na pia yuko mmoja anayewapatanisha watu na Mungu, binadamu Kristo Yesu,
 
Kuna watu wanadanganya pia kuwa madhehebu yote yametoka kwenye ukatolik. Nadhani ndo wanavyodanganywa huko.
Ukweli ni kuwa ukatolik ukishirikiana na serikali ulikandamiza madhehebu mengine na kuwaua waumini wake , hivyo kupelekea kutokuabudu waziwazi
Na baada ya upinzani kutoka ndani yao wenyewe kwa wenyewe, ikashindikana kuthibitiana ndio madhehebu mengine yakaanza harakati zake waziwazi
Wakatolik hawakuandika biblia yoyote. Kwanza hawapendi watu wasome biblia kwa kuwa mambo mengi wanayofanya hayaendani nayo
Kulikuwa na madhehebu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau siasa ndio inaratibu maisha yetu ya kila siku
Hitimisho lako kuwa Biblia imeandikwa na Wakatoliki ni upotoshaji mkubwa.
Mosi.Bibilia ya kwanza inasadikiwa iliandikwa kwa lugha ya Armaic hii ni lugha ya eneo la Mashariki ya Kati pamoja na pembe ya Afrika,ni miongoni mwa lugha za kwanza kuandikwa zaidi ya miaka 4500 iliyopita
Pili.Ukiristo kwa ujumla wake umeanza miaka 2000 baada ya ufufuo wa Yesu Kristo na ndio wakati Agano la jipya,tafsiri yake ni kuwa Ukatoliki umeanza karne ya kwanza yaani baada ya Yesu kufufuka

Tatu.Dini ya kwanza ya iliyotimia Bibilia ni Judaism ambayo ilianza miaka mingi kabla ya Yesu
Kwamba vitabu vya agano jipya vilikuwako kabla hata Kristo kuzaliwa [emoji16] . Unajua leo Petro, Paulo achili mbali akina Musa ukiwaambia una bible ambayo unaiamini watakuona kichaa! Hata hilo neno bible hawalijui yaani [emoji16].

Vitabu vya Bible vimekusanywa, kuhalalishwa karibia karne baadae. Wakristo toka awali hawakuwa na kitabu kama hiki ukichonacho leo. Hujiulizi nani alijipa mamlaka ya kuchagua injili, nyaraka tena nyingi zikachukuliwa za St Paulo akapanga mtiririko wa vitabu iweje, chapters, verses! Mnafikiri vilishuka tu kama quran ya wenzetu?

Nenda kafatilie mtaguso gani ulipitisha Bible na ilikuwa dhehebu gani na wakati huo yalikuwepo madhehebu mengine? Nitajie majina ya hayo madhehebu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani leo mitume mfano wakifufuka mnafikiri wataingia kanisa lolote tu kisa kuna mapambio? Watataka kujua warithi wa nafasi zao toka awali, alafu watafatilia namna imani ilivyorithishwa hadi leo ili walitambue kanisa la Kristo. Maana ahadi ya Kristo ni kujenga Kanisa lake na si kujenga makanisa yake.

Yaani Paulo akiingia Kanisa Katoliki anaweza kuendesha misa yaani [emoji16] maana taratibu ni zile zile toka Kanisa la kwanza kama ilivyoandikwa kwenye matendo ya,mitume, ibada ya neno alafu kumega mkate! Yaani Kristo alitupa sababu moja kuu ya sisi Wakristo kukutana, kumega mkate!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kuwa ukatolik ukishirikiana na serikali ulikandamiza madhehebu mengine na kuwaua waumini wake , hivyo kupelekea kut
Unaweza tupa Mifano ya hayo nadhehebu na hizo serikali?? Ukishasema dhehebu(denomination) maana yake imetoka mahali....unless hujui maana ya dhehebu.....
 
Tufanye wewe umeshinda! Maana umekalia ukatoliki wako tu badala ya kujenga hoja!
Nenda kafanye homework yaki vizuri hadi miaka ya karibuni ndio Wakatoliki wa kawaida waliruhusiwa kusoma Biblia,waumini walikuwa wanapewa Misali za waumini!
Kama wao ndio waliandika Biblia ilikuwa na haja gani wafiche ukweli? Ebu tumia tu common sense hapa uelewe!
Fanya homework ujue kanisa katoliki limeanza lini,na Bibilia imeandikwa lini!

Kwamba vitabu vya agano jipya vilikuwako kabla hata Kristo kuzaliwa [emoji16] . Unajua leo Petro, Paulo achili mbali akina Musa ukiwaambia una bible ambayo unaiamini watakuona kichaa! Hata hilo neno bible hawalijui yaani [emoji16].

Vitabu vya Bible vimekusanywa, kuhalalishwa karibia karne baadae. Wakristo toka awali hawakuwa na kitabu kama hiki ukichonacho leo. Hujiulizi nani alijipa mamlaka ya kuchagua injili, nyaraka tena nyingi zikachukuliwa za St Paulo akapanga mtiririko wa vitabu iweje, chapters, verses! Mnafikiri vilishuka tu kama quran ya wenzetu?

Nenda kafatilie mtaguso gani ulipitisha Bible na ilikuwa dhehebu gani na wakati huo yalikuwepo madhehebu mengine? Nitajie majina ya hayo madhehebu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote nyie humu ni watoto mnashirikiana kwenye mjadala huu.
Mnapigapiga tu ujinga mnaachia hivo hivo.
Nawapa kwa kifupi sana dose:

Vitabu vingine kwenye Biblia vilifutwa ajili ya kuweka wazi kuwa

wazungu wote wahindi, waarabu ni uzao wa Nephilim.

Biblia wazungu haiwahusu wala kuwataja kwa mema. Lkn ilionekana ili watawale vizuri biblia lazima iwaongoze! Wakajipachika uhusika.

Lkn hivyo vitabu 12 vilivyoondolewa vilidhihirisha chanzo chao cha asili kabisa kuwa si Mungu wa Ibrahim.isacka na yakobo.

Kifupi tu ni kwamba Wazungu ni uzao wa Nephilim haswaaa! Bila kuuma maneno na hili wamelificha miaka mingi sana.
Kitaalam wanaitwa Neandethals genetics.

Walifanikiwa sana kuitawala Dunia na mpaka. Leo wanaweza sana. Ila Mungu alikuwa anawaua wanajileta tena ki upya!
Tukirudi nyuma miaka 6000 hkn mzungu.
Wao wana Dna za mweusi. Na wale watu neandethals.wafrica wote hawana kwa nini?

Kwa nini mtu mnyonge na maskini yaani mwafrica achukiwe kiasi hicho tangu enzi japo wanamtawala lkn bado anachukiwa sana na weupe duniani?

Jibu nuru ya uumbaji wa Mungu inamuhukumu mtu mweupe sana dhidi ya weusi
Nguvu nyingi sana za kumaliza mweusi Duniani zimetumika ktk historia ya Dunia lkn ndo kwanzaa wanachipua upya km uyoga!

Mfano tz uhuru tulikuwa million 10. Leo miaka 50 tu tuko zaidi ya million 69 tumeipiku uingereza ambayo haikuwahi tawaliwa.wala kuathiriwa na utumwa.
Wana wasiwasi na sisi hao!!! Heee!!

Hayaa sasa wamekuja na ebora mara covid 19 imewatafuna wenyewe. Wameisha

jamani twendeni tukatawale ulaya. HAwana jinsi drs na manesi mswahili muda ndo huu nenda ukawe tajiri ulaya.wanaisha wale!wanaacha nyumba na magari

Hata hizo chanjo haziwasaidii saaana watakufa baada ya miaka 2
 
Yaani leo mitume mfano wakifufuka mnafikiri wataingia kanisa lolote tu kisa kuna mapambio? Watataka kujua warithi wa nafasi zao toka awali, alafu watafatilia namna imani ilivyorithishwa hadi leo ili walitambue kanisa la Kristo. Maana ahadi ya Kristo ni kujenga Kanisa lake na si kujenga makanisa yake.

Yaani Paulo akiingia Kanisa Katoliki anaweza kuendesha misa yaani [emoji16] maana taratibu ni zile zile toka Kanisa la kwanza kama ilivyoandikwa kwenye matendo ya,mitume, ibada ya neno alafu kumega mkate! Yaani Kristo alitupa sababu moja kuu ya sisi Wakristo kukutana, kumega mkate!

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23]
 
Kabla ya Luther kuviondoa nani aliamua hivyo vitabu viwepo kwanza?
 
Kabla ya Luther kuviondoa nani aliamua hivyo vitabu viwepo kwanza?
Luther hakuwahi kuondoa kitabu chochote

Iko hivi agano la kale Lilikuwepo .Wayahudi wana Biblia yao yaani Jewish Bible ambayo iko hadi Leo wanaitumia.

Wakatoliki waliongeza vitabu vingine ambavyo havimo kwenye Biblia ya wayahudi ndio maana ya kwao ya kikatoliki agano LA kale lina vitabu vilivyoongezeka

Agano jipy hakuna badiliko wakristo wote katoliki na wengine vitabu viko sawa

Tofauti iko vitabu vya agano LA kale tu ambako katoliki waliamua kujiongezea vyao zaidi ya vilivyomo kwenye Biblia ya wayahudi makanisa mengine yanaamini ahano la kale zaidi lilihusu wayahudi hivyo Biblia yao ndip yafaa kutumika kama agano la kale

Hata wakati Yesu yupo biblia hiyo ya agano LA kale ilikuwepo wayahudi walikuwa nayo
 
Wakatoliki vitabu walivyoongeza walivitoa wapi ?
 
Mfano tz uhuru tulikuwa million 10. Leo miaka 50 tu tuko zaidi ya million 69 tumeipiku uingereza ambayo haikuwahi tawaliwa.wala kuathiriwa na utumwa.
Wana wasiwasi na sisi hao!!! Heee!!
...we jamaa bhana...hiyo idadi ya 69 million tumefika lini?.... anyway labda sensa ya mwaka huu itathibitisha.

Isitoshe Uingereza ina raia kama 67 million mwaka 2020 huenda hata hatujawapiku au kupishana sana.
 
Luther hakuwahi kuondoa kitabu chochote

Iko hivi agano la kale Lilikuwepo .Wayahudi wana Biblia yao yaani Jewish Bible ambayo iko hadi Leo wanaitumia.

Wakatoliki waliongeza vitabu vingine ambavyo havimo kwenye Biblia ya wayahudi ndio maana ya kwao ya kikatoliki agano LA kale lina vitabu vilivyoongezeka

Agano jipy hakuna badiliko wakristo wote katoliki na wengine vitabu viko sawa

Tofauti iko vitabu vya agano LA kale tu ambako katoliki waliamua kujiongezea vyao zaidi ya vilivyomo kwenye Biblia ya wayahudi makanisa mengine yanaamini ahano la kale zaidi lilihusu wayahudi hivyo Biblia yao ndip yafaa kutumika kama agano la kale

Hata wakati Yesu yupo biblia hiyo ya agano LA kale ilikuwepo wayahudi walikuwa nayo
Great
 
DINI NI TAASISI ZA BINADAMU ZENYE LENGO LA KUONGOZA WENGINE NA KUNUFAIKA KIUCHUMI KUPITIA KUPATA SADAKA HAKUNA LINGINE.

BINADAMU BILA MAFUNDISHO NA HISTORIA ZA DINI HAWANA UGOMVI WA KIIMANI.

MAFUNDISHO YA KIHISTORIA YA KITAASISI NDIYO HULETA TOFAUTI KATI YA BINADAMU MMOJA NA MWINGINE, UADUI KATI YA BINADAMU MMOJA NA MWINGINE.

CHUKUA MTOTO KUTOKA ASILI YA KIKRISTO, KIYAHUDI, KISABATO, KIAFRIKA, KICHINA, KIHINDI, KIISLAMU, KIARABU WAKUZE PAMOJA.

WATAISHI BILA KUHUKUMIANA, KUKOSOANA NA KUPARUANA KUHUSU DINI, WATACHEZA PAMOJA, WATAIMBA PAMOJA, WATAHUZINIKA PAMOJA MPAKA PALE MAFUNDISHO YATAKAPOKUJA NA KUWATENGA KIMAFUNGU KUWA WEWE NI MKATOLIKI, BABA YAKO NI MUISLAMU SAFI, WEWE NI MLUTHERI N.K

TUKIAMUA, BINADAMU TUNAWEZA KUMTAFUTA MUNGU WETU, KUIFAHAMU ASILI YETU BILA DINI.

SIKU SAYANSI ITAKAPOKUJA NA JIBU KUWA MUNGU YUPO DINI ZOTE ZITAKOSA UMAARUFU.

download (8).jpeg

download (7).jpeg

images (59).jpeg

images (58).jpeg

NAAMINI ITAFIKA KIPINDI BINADAMU TUTAIFAHAMU ASILI YETU NA KUMJUA MUNGU BILA DINI WALA BLA BLA ZA TAASISI NA TUTAKUWA VIUMBE HURU TUSIOFUNGWA NA ITIKADI.

HISTORIA YA BINADAMU KABLA YA KUGUNDUA UCHUMI, ILIONGOZWA NA TAASISI GANI ZA DINI? UFAHAMU UNAVYOONGEZEKA HILI NALO LITAPITA KAMA IMANI ZILIZOKUWEPO KABLA YA UWEPO WA UCHUMI ZILIVYOPITA
 
...we jamaa bhana...hiyo idadi ya 69 million tumefika lini?.... anyway labda sensa ya mwaka huu itathibitisha.

Isitoshe Uingereza ina raia kama 67 million mwaka 2020 huenda hata hatujawapiku au kupishana sana.
Mie mwana takwimu nikikupatia yangu saaana utaishia mitini tu
 
Back
Top Bottom