linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,724
- 4,381
Sifa mojawapo ya asili ya mwanamke ni kusikiliza.
Sasa kule kupenda kusikiliza wamejikuta wanakubali kwanza kwenda kwa wachungaji..
Pili wachungaji wanapoyakuza kwa mbwembwe mambo ya pepo na laana wanaaikiliza kwa makini na kuyabeba na kujisikia kama wamepagawa wanajisikia km wamelaaniwa. Basi wachungaji ndo wanatumia tabia hiyo ya asili ya mwanamke kwa manufaa yao. Wanawake wajitambue hata tatizo dogo la kutatua kwa akili aliyopewa na Mungu atataka akaombewe. Naamini kwa Mungu hakuna lisilowezekana... Lkn Mungu huyu ametupa akili za kutatua, kuamua na kufanya jambo na sio kuambiana 'usitumie akili yako" ili mtu abaki anamtegemea mchungaji wakati Mungu amempa akili, elimu, hakima na vipaji mbalimbali. Nakerwa sana na wanaodanganya wenzao tangu nilipofiwa na wifi yangu I have negative attitude towards THEM