SIPRITE
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 499
- 65
Huo si ukweli.
Adam hakuangushwa. Kama aliangushwa ni wapi alipochubuka au kuvunjika?
Mapepo ni nini?
Kawa huna mchango c uvunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo si ukweli.
Adam hakuangushwa. Kama aliangushwa ni wapi alipochubuka au kuvunjika?
Mapepo ni nini?
Huo si ukweli.
Adam hakuangushwa. Kama aliangushwa ni wapi alipochubuka au kuvunjika?
Mapepo ni nini?
We faiza una pepo..wewe ni pepo pia yani mtu kuangushwa na shetani paka achubuke?? Folish
Unajuwa maana ya kuangushwa?
Adam alirubuniwa, hakuangushwa. Kumbuka hilo.
Kuanguka maana yake ni kama ulikuwa na msimamo fulan juu ya jambo fulan mfano wa din au kukataa pombe sasa siku akienda kinyume chake bhas hapo kaanguka...katika iman..
ccm inakuharibu akili wewe acha ujinga
Mapepo ni nini? na huko "kuanguka" ni nini?
HABARI ZENU NYOOTE!
Tunahitaji kujua uhusiano wa kuanguka mapepo na wanawake.
Je,ni kwa nin kwa kiwango kikubwa wanaokumbwa na kuanguka au kupagawa na mapepo ni wanawake\wasichana?
Nasema wanawake kwa sababu:
A.tukichunguza mashuleni au vyuoni kwa kiwango kikubwa unakuta wasichana ndiyo wahanga wa kuanguka au kupagawa mapepo.
B.vile vile makanisan {hasa ya kilokole} unakuta wanao anguka na kuombewa mapepo ni manawake.
sasa najaribu kujiuliza kwa nini wanawake\wasichana tu ndiyo kwa kiwango kikubwa hukumbwa na tatizo hili?
KARIBUN KATIKA TAFAKULI YAKINIFU.
hili swali lako hakuna hata mmoja aliyekujibu kiufasaha/kielimu. Endelea kufiatilia jamii inteligence,kuna maada naziandaa ili tuwatoe watu kwenye giza totoro.
Wewe hauna jipya utaleta zaidi ya ku-quote biblia ama quran of which sio watu wote wanaamini i,e leta knowledge/ujuzi sio hadithi mkuu.
Ndugu yangu,dini imesimama kwenye maandiko,aidha quran au biblia.Kwa mfano uislamu,chanzo chake au dalili zake ni quran na hadithi za mtume.Ndani ya quran kuna hoja,imeleta hoja.Haimlazimishi mtu kuamini,cha msingi hoja imefika.Na wewe hulazimishwi kuamini,kikubwa hoja ikufikie.
Kwanza we nunda "mtata", pili we IQ yako ndogo mno... Nimeona post zako nyingi sielewi huwa lengo lako ni nini???
Ndio maana nilikuambia hauna hoja mpya mkuu.
Anyway-endelea na mada zako lakn jua tu hazina jipya ndani yake i,e watakao kuelewa ni wahafidhina na wafia dini wenzako i,e people with free mind wataku-dis tu.
Kila la heri mkuu ktk safari isiyo na tija.
Hoja gani wakati wewe utaleta quote za vifungu vya biblia ama quaran...wakati wenzio hivyo vitabu wanasoma na kuviona kama novel.Nasisitiza tena ndugu yangu,hatulazimishani kuamini,tunapeana hoja ili kila mmoja apime kwa uelewa wake.
Huo si ukweli.
Adam hakuangushwa. Kama aliangushwa ni wapi alipochubuka au kuvunjika?
Mapepo ni nini?
Huo si ukweli.
Adam hakuangushwa. Kama aliangushwa ni wapi alipochubuka au kuvunjika?
Mapepo ni nini?
Mapepo ni nini? na huko "kuanguka" ni nini?
Umeanza kuogopa mapema hivi?Wewe hauna jipya utaleta zaidi ya ku-quote biblia ama quran of which sio watu wote wanaamini i,e leta knowledge/ujuzi sio hadithi mkuu.