MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Huo si ukweli.

Adam hakuangushwa. Kama aliangushwa ni wapi alipochubuka au kuvunjika?

Mapepo ni nini?

We faiza una pepo..wewe ni pepo pia yani mtu kuangushwa na shetani paka achubuke?? Folish
 
Wanawake wanaimani kiduchu, wanaamini ktk kuombewa sio kujiombea, hawajiamini.
 
We faiza una pepo..wewe ni pepo pia yani mtu kuangushwa na shetani paka achubuke?? Folish

Unajuwa maana ya kuangushwa?

Adam alirubuniwa, hakuangushwa. Kumbuka hilo.
 
Unajuwa maana ya kuangushwa?

Adam alirubuniwa, hakuangushwa. Kumbuka hilo.

Kuanguka maana yake ni kama ulikuwa na msimamo fulan juu ya jambo fulan mfano wa din au kukataa pombe sasa siku akienda kinyume chake bhas hapo kaanguka...katika iman..

ccm inakuharibu akili wewe acha ujinga
 
lakin si tu kuwa na msimamo wa jambo flani, lakin pia kuna kuanguka kiimani,kimatendo,kiuchumi n.k.
hii ni nyongeza
 
Nyeg,,,e mda mrefu bila kusema huwapa msongo wa mawazo, so ni easy mijini mahaba kuwaingia
 
Single girls inawahusu sana, ukiona co cngo labda mawazo tu na udhaifu mwingine tofauti wa girls
 
hili swali lako hakuna hata mmoja aliyekujibu kiufasaha/kielimu. Endelea kufiatilia jamii inteligence,kuna maada naziandaa ili tuwatoe watu kwenye giza totoro.
 
hili swali lako hakuna hata mmoja aliyekujibu kiufasaha/kielimu. Endelea kufiatilia jamii inteligence,kuna maada naziandaa ili tuwatoe watu kwenye giza totoro.

Wewe hauna jipya utaleta zaidi ya ku-quote biblia ama quran of which sio watu wote wanaamini i,e leta knowledge/ujuzi sio hadithi mkuu.
 
Wewe hauna jipya utaleta zaidi ya ku-quote biblia ama quran of which sio watu wote wanaamini i,e leta knowledge/ujuzi sio hadithi mkuu.

Ndugu yangu,dini imesimama kwenye maandiko,aidha quran au biblia.Kwa mfano uislamu,chanzo chake au dalili zake ni quran na hadithi za mtume.Ndani ya quran kuna hoja,imeleta hoja.Haimlazimishi mtu kuamini,cha msingi hoja imefika.Na wewe hulazimishwi kuamini,kikubwa hoja ikufikie.
 
Ndio maana nilikuambia hauna hoja mpya mkuu.
Anyway-endelea na mada zako lakn jua tu hazina jipya ndani yake i,e watakao kuelewa ni wahafidhina na wafia dini wenzako i,e people with free mind wataku-dis tu.

Kila la heri mkuu ktk safari isiyo na tija.
 
Kwanza we nunda "mtata", pili we IQ yako ndogo mno... Nimeona post zako nyingi sielewi huwa lengo lako ni nini???

Usifike huko achana nae.....ndo maana wengi wamepita alichocomment
 
Nasisitiza tena ndugu yangu,hatulazimishani kuamini,tunapeana hoja ili kila mmoja apime kwa uelewa wake.
 
Nasisitiza tena ndugu yangu,hatulazimishani kuamini,tunapeana hoja ili kila mmoja apime kwa uelewa wake.
Hoja gani wakati wewe utaleta quote za vifungu vya biblia ama quaran...wakati wenzio hivyo vitabu wanasoma na kuviona kama novel.
Ni sawa na mtu ana_base na kuquote characters na hadithi za kwenye Things fall apart halafu akuambie jinsi Okonkwo alivyokua jasiri na hodari...utaamini...?
 
Huo si ukweli.

Adam hakuangushwa. Kama aliangushwa ni wapi alipochubuka au kuvunjika?

Mapepo ni nini?

Hahahaa sitaki kuamini kama mama Faiza na wewe una uwezo mdogo wa kutafsiri na kupambanua mambo kiasi hiki...
 
Wewe hauna jipya utaleta zaidi ya ku-quote biblia ama quran of which sio watu wote wanaamini i,e leta knowledge/ujuzi sio hadithi mkuu.
Umeanza kuogopa mapema hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…