Tunkamanin
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 955
- 866
sababu umeuliza kwa dharau hautafahamishwa. waislam tumelelewa na kufunzwa itikadi na misingi ya dini, ndio maana hakuna mtu atatoa maoni yake anavyoona kuhisi au kujiskia, bali lazima ulete vitu kwa ushahidi, jinsi dini inavyosema kwa mujibu wa hadithi na sunna. hili swali hapa mnahangaika nalo bt ni very simple kwetu waislam kukueleza kwanini wanawake kulingana na itikadi ya dini yetu.Nimeishi huko na sijaona hayo majini kwa wanawake
sababu umeuliza kwa dharau hautafahamishwa. waislam tumelelewa na kufunzwa itikadi na misingi ya dini, ndio maana hakuna mtu atatoa maoni yake anavyoona kuhisi au kujiskia, bali lazima ulete vitu kwa ushahidi, jinsi dini inavyosema kwa mujibu wa hadithi na sunna. hili swali hapa mnahangaika nalo bt ni very simple kwetu waislam kukueleza kwanini wanawake kulingana na itikadi ya dini yetu.
Wapo lakini haeafanyi mambo yao kwa kuwaingia binaadamu bali nao hufanya mambo yao kimya kimya, asili ya ibada haitakiwi kufanya kwa kujionesha, ili uonekane na wengine kuwa wewe ni MchaMungu sana, hao wanaowaingia binadamu ni Shetani tu wapumbavu {huwaingia binadamu kwa kujifanya wema kumbe huwa na lengo lao kinyume na wnaavyojidhihirisha}Ukienda huko kwa wenye hii dini husema kuna majini mazuri na yaliyo mabaya.
Tafadhali toa rejea ya hayo unayoyaandika. Vinginevyo pita kimyakimyaKwa Asili (Nature)Mwanamke Ana Uwezo Wa Kuhifadhi roho zingine na ni mwepesi wa kupokea roho zingine maana ana sehemu ya kuhifadhi hizo roho(Hasa Ni Katika tumbo La Uzazi)
Ndio maana mwanamke ni rahisi sana kupokea jambo lolote liwe lenye madhara au la faida yeye kwake ni rahisi zaidi kulipokea.
nipo nalala hapa nikiamka nitaandika essay kama tano hivi
Tafadhali toa rejea ya hayo unayoyaandika. Vinginevyo pita kimyakimya
Basi pole sana. Nilitegemea useme ulichokiandika umekisoma kitabu ganii huko library wewe msomi!. Sasa povu lote la nini mkuu?Rejea Ya Wapi Sasa Unataka?
Nadhani Shuleni Ulitoka Pasipo Kujua matumizi Ya Library
Watanzania we nee more soften data ndio maana easy sana kupotezwa just
finde your proof Man
Nimekujibu hivyo kutokana na kauli yako ya kibabe
Yaani navyoelewa hapa nami nimeelewa ivoivo piaaa
Angalau umenena wengi wanatoa comments za ajabu mpaka unawaza uelewa wao, wenzetu walioendelea wanatumia sana perfume, mawigi, mikufu, heleni mpaka mdomoni, juu ya kope, puani, hadi sehemu za siri na hawaanguki. Tatizo letu ni mfumo wa maisha unaowakandamiza jinsia ya kike, manyanyaso tangu ngazi ya familia, mashuleni na maofisini. Wanawake kunyimwa fursa za kiuchumi na ndo wazalishaji wakubwa so wanatafuta faraja but pia wako very super sentimentalHata kwa manabii na mitume wa tv 95% wanaoanguka kwa mapepo ni wanawake
Probably wako psychologically weak na prone to mass hysteria
Wao ni rahisi kushawishiwa na kuingia kingi