MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Hizi mambo zipo pwani sana,mimi nimeyashuhudia mpk sasa naona kawaida tuu.
 
alikwambia nani majini yanapatana na uchafu? wanaume wengi tu mnayo hata wewe naona kama una matatu hivi
haha hahaha...." daaahh mbona unamtisha "" japo kuwa huo ndio uhalisia wenyewe
 
Nijuavyo mie ni kuwa kila Mwanaadamu anayo majini kichwani mwake awe mwanamke ama mwanaume,Ila mengi zaidi yapo kwa Wanawake
Ni kwa namna gani basi matatizo ya kupandisha mashetani huwakumba zaidi watu waishio maeneo ya pwani?
 
Sibishani na mtu hapa,Nenda kafunue Katika Quran kuna sura inaitwa Jini imeelezea kila kitu,Ukibisha basi unabishana na maneno ya Mwenyezi Mungu
Mkuu sasa unasemaje kila mtu ana jini wakati habari za majini zipo kwenye quran pekee?

Vitabu vya dini zingine uwezi kutana na hii kitu
 
Sibishani na mtu hapa,Nenda kafunue Katika Quran kuna sura inaitwa Jini imeelezea kila kitu,Ukibisha basi unabishana na maneno ya Mwenyezi Mungu
Nani kasema Quran Ni ya mwenyezi mungu
 
alikwambia nani majini yanapatana na uchafu? wanaume wengi tu mnayo hata wewe naona kama una matatu hivi
Uliwahi kuniona ukaniona ninayo mashetani?
Nimeandika maoni yangu si lazima uyafuate
 
Nashuku

Nashukuru kwa majibu mzuri, ila naomba maelezo kidogo kwa namba mbili. Umesema majini au mapepo hayapendi watu wachafu hivyo hupenda kuwaingia watu walio wasafi kimwili kimatendo nk. Lakini kupa mtaani kwetu kuna dada mmoja ambaye ni popo, lakini kwake kupandisha ni kama kawaida.

Je, hilo limekaaje mwanajamvi?
 
Kwa hiyo wataka kusema mwanamke anafuatwa na mashetani kwa sababu yeye ni dhaifu na mwepesi kuingia katika majaribu?
 
Nijuavyo mie ni kuwa kila Mwanaadamu anayo majini kichwani mwake awe mwanamke ama mwanaume,Ila mengi zaidi yapo kwa Wanawake
Labda mnayo wewe na wenzako. Mimi sina hayo matakataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…