MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Hizi mambo zipo pwani sana,mimi nimeyashuhudia mpk sasa naona kawaida tuu.
 
Nijuavyo mie ni kuwa kila Mwanaadamu anayo majini kichwani mwake awe mwanamke ama mwanaume,Ila mengi zaidi yapo kwa Wanawake
Ni kwa namna gani basi matatizo ya kupandisha mashetani huwakumba zaidi watu waishio maeneo ya pwani?
 
Sibishani na mtu hapa,Nenda kafunue Katika Quran kuna sura inaitwa Jini imeelezea kila kitu,Ukibisha basi unabishana na maneno ya Mwenyezi Mungu
Mkuu sasa unasemaje kila mtu ana jini wakati habari za majini zipo kwenye quran pekee?

Vitabu vya dini zingine uwezi kutana na hii kitu
 
Sibishani na mtu hapa,Nenda kafunue Katika Quran kuna sura inaitwa Jini imeelezea kila kitu,Ukibisha basi unabishana na maneno ya Mwenyezi Mungu
Nani kasema Quran Ni ya mwenyezi mungu
 
Nashuku
1-pepo ni roho ambayo haina mwili sasa inatanga tanga kutafuta makazi sasa anaweza kuingia kwenye kichwa cha MTU aliyempenda pia anaweza kuingia kwa kutumwa aingie kwa MTU

2-mapepo hayapendi mtu mwenye vurugu na mchafu sasa wanaume wengi ni wachafu kuanzia mwili, matendo nk. Mwanaume unakuta anakuwa na mademu kila mtaa ,mapepo hayapendi, pia mwanaume utakuta anashinda bar na kulewa ,mapepo hayapendi na Kazi za wanaume ngumu muda Mwingi unatoka jasho mapepo hawapendi...mapepo yanapenda harufu nzuri ya perfume muda wrote

3-makazi ya majini na mapepo ni baharini na malkia wao anaishi chini ya bahari

Nashukuru kwa majibu mzuri, ila naomba maelezo kidogo kwa namba mbili. Umesema majini au mapepo hayapendi watu wachafu hivyo hupenda kuwaingia watu walio wasafi kimwili kimatendo nk. Lakini kupa mtaani kwetu kuna dada mmoja ambaye ni popo, lakini kwake kupandisha ni kama kawaida.

Je, hilo limekaaje mwanajamvi?
 
Mlango ulifunguliwa pale shetani alipomtumia eva kula tunda. Kile kitendo kilimpa shetani mlango wa kumtumia mwanamke ktk mambo yake mengi .

Ukisoma biblia kuna falme zilianguka sababu ya mwanamke. Jini ni roho, means kinaweza kukaa popote but only if umelipa mlango.

Wanawake wengi wananayo hiyo milango ambayo haya majitu yametumia kuingia kwao.
Kwa hiyo wataka kusema mwanamke anafuatwa na mashetani kwa sababu yeye ni dhaifu na mwepesi kuingia katika majaribu?
 
Nijuavyo mie ni kuwa kila Mwanaadamu anayo majini kichwani mwake awe mwanamke ama mwanaume,Ila mengi zaidi yapo kwa Wanawake
Labda mnayo wewe na wenzako. Mimi sina hayo matakataka.
 
Back
Top Bottom