MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Weee[emoji87]
hapana mkuu, ila punguza izo mishe lasivyo utapungua akili au hujui kugonga sana kunapunguza akili na kumbukumbu, na pia kupakua mitaro inaleta kansa ya vibofu
 
Naweza amini hili
 
Wee umejuaje yeye ni muhuni
 
Astakafurulah
 
Sasa yeye anafanya biashara mi nilidhani hicho kitabu ni bure
nashauri tafuta andiko moja la Padri titus Amigu, alikuwa pale seminari kuu Peramiho, now yuko pale SAUT Mtwara,

Amewahi kuandika hiyo juu ya mapepo na wanawake, yuko vizuri sana. Anaichambua bibilia kama kijitaku cha kurasa 10
 
Kama ilivyo kwa mwanaume kuwa na ujasiri kumfata mwanamke na mapepo ndio hivyohivyo, yale ya kike yana aibu Sana yanaogopa kwenda kwa wanaume lkn yakiume majasiri
 
Ile ya shule kama bording inasemekana kama wanafunzi wameshavunja unvo huo ni genye eti hata mimi nakumbuka kipindi nasoma walikuwa wanaamshaga mapepo hivyo basi mkuu wa shule anatoa likizo fupi ya ya wiki akienda kwao akirudi fresh katulia[emoji2][emoji2]
Hata mashuleni, wahanga ni wasichana
 

Mapepo siyo viumbe bali ni ugonjwa miongoni mwa magonjwa ya akili kitaalamu ugonjwa huo unaitwa Hysteria, unawashika hasa jinsia ya kike.
 
Hakuna cha mapepo wala nini,ni nyege tu zilizozidi,dawa yake ni dudu tu
 
Kiazi wewe ....hahahaahaaaa kila pepo linataka likojozwe...aseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…