Sababu zinaweza kuwa moja kati ya hizi zifuatazo
1] Idadi ya wanawake sehemu nyingi huwa kubwa kuliko wanaume, hivo lazima utaona wanawake ndio waathirika zaidi.
2] Mwanammke akiwa katika ada yake ya mwezi mwili wake huwa dhaifu kiroho na hata kama alikua na ibada zake anafanya basi kipindi hichi wanawake wengi huwa wanaacha kwa kujihisi wapo wachafu.
3] Majini ama mapepo kama ulivyowaita wanatamani kama wanavyotamani wanaume wa kibinaadamu.
4]Wanawake wengi wana roho dhaifu hivo huwa wahanga wakubwa wa kurogana [wanatumiana hayo mapepo]
5]Wanawake wanajipamba sana hivo huwa inachochea zaidi kuwavutia majini, rudia namba 3.
6] Si kila mwanammke anae chagawa kuwa ana mashetani bali wengine huwa msongo wa mawazo uliopitiliza. Muda mwingi huwa hisia tu, ama kutendwa au kukosa mume.
7] Wakati huwa wanaigiza tu sana sana mashuleni kwa kuogopa mtihani.
Sent using
Jamii Forums mobile app