MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Mimi mwenyewe ni mhuni, tena zaidi yako.
Najua vitu na mambo mengi sana zaidi yako,
mfano, jinsi ya kumfikisha shoga kileleni, unyonyaji safi kabisa wa matundu yote na mengine mengi,
Sasa unapokuja hapa na kuanza kuniambia mara ooh kalikwenda kakarudi, nakuchora tu kijana.
dah kwaiyo mzee we hauoni noma kupumulia mwanaume mwenzio kisogoni, unakuta msela ana uchebe kabisa kidevuni, na kengele zake mbili, ebu acha kuzingua mkuu mademu wapo kibao ukitaka nenda afrikasana pale ni ww na teni lako tu mkomoane ila sio msela, ukifanyia ivo mtoto wa mtu basi jua na wewe wako kitamkuta kitu kama hiko hiko tu, af pia "uf.r.ji " inaleta mikosi mzee kitu kishakatazwa hadi na Mungu, samtym utaona mambo yako ayaendi ila ni kwajili ya ishu kama izo, ila sio late sana mzee acha tu na umrudie mwenyezi kwani ni Mungu mwenye huruma
 
nashauri tafuta andiko moja la Padri titus Amigu, alikuwa pale seminari kuu Peramiho, now yuko pale SAUT Mtwara,

Amewahi kuandika hiyo juu ya mapepo na wanawake, yuko vizuri sana. Anaichambua bibilia kama kijitaku cha kurasa 10
 
dah kwaiyo mzee we hauoni noma kupumulia mwanaume mwenzio kisogoni, unakuta msela ana uchebe kabisa kidevuni, na kengele zake mbili, ebu acha kuzingua mkuu mademu wapo kibao ukitaka nenda afrikasana pale ni ww na teni lako tu mkomoane ila sio msela, ukifanyia ivo mtoto wa mtu basi jua na wewe wako kitamkuta kitu kama hiko hiko tu, af pia "uf.r.ji " inaleta mikosi mzee kitu kishakatazwa hadi na Mungu, samtym utaona mambo yako ayaendi ila ni kwajili ya ishu kama izo, ila sio late sana mzee acha tu na umrudie mwenyezi kwani ni Mungu mwenye huruma
Nani kasema nimekosa mademu?
Wanawake wapo, nawatumia nikiwahitaji.
Mashoga pia wapo, nawatumia wakinihitaji. Simple kama hivyo!
 
Ukipata majibu sahihi unitag Mkuu...
 
Yaani hata huko kwenye nyumba za ibada kwenye kuombewa kwa asilimia kubwa wengi wanaoamsha haya mapepo wanakuwa ni wanawake tuu.

Sijawahi kuona eti mtu mzima tena alovaa suti na tai yake eti anagalagala chini kaamsha mapepo hivi kuna siri gani kwenye hii jinsia ya kike kushambuliwa na hawa viumbe.
Alieongea na shetanii ni Adam au Eva me nipo kukuna kichwaa najiulizaaaa!
 
Duuu kwa hiyo sa hivi unamtindua mapepo hana tena
Umenikumbusha mwaka juzi nilidate na mwanadada mwenye pepo saba,
Ile tuko kitandani tunataka tufanye yetu,
katika tomasa za hapa na pale,
pepo saba zinaamka.

ilikuwa ukipiga bao la kwanza, pepo la kwanza linatulia, la pili hivyo hivyo, mpaka pepo la saba litulie,
Ilikuwa mtihani kipindi hicho,
siku zilipozidi kwenda, nikmletea kitimoto ndani, ikawa ndiyo kikomo cha wale pepo saba.
Mpaka leo huwa tunaangalia zile video nikiwa katika harakati za kuyatuliza mapepo yote saba, basi inabaki tunacheka tu.
 
Haaa mwishoni ikawaje[emoji2][emoji2]
Wa stand nilicheka sana siku Gwajima anakazana kumwombea Nabii Tito alafu Tito wala haanguki,Gwajima akaanza swaga za kumsukuma nayo ikagonga Gwajima akaanza matusi kubadilisha huo Upepo wa kisuli suli....Akaja na snag ya kudos Kuhusu msalaba wa Tito.
 
Back
Top Bottom