Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah kwaiyo mzee we hauoni noma kupumulia mwanaume mwenzio kisogoni, unakuta msela ana uchebe kabisa kidevuni, na kengele zake mbili, ebu acha kuzingua mkuu mademu wapo kibao ukitaka nenda afrikasana pale ni ww na teni lako tu mkomoane ila sio msela, ukifanyia ivo mtoto wa mtu basi jua na wewe wako kitamkuta kitu kama hiko hiko tu, af pia "uf.r.ji " inaleta mikosi mzee kitu kishakatazwa hadi na Mungu, samtym utaona mambo yako ayaendi ila ni kwajili ya ishu kama izo, ila sio late sana mzee acha tu na umrudie mwenyezi kwani ni Mungu mwenye hurumaMimi mwenyewe ni mhuni, tena zaidi yako.
Najua vitu na mambo mengi sana zaidi yako,
mfano, jinsi ya kumfikisha shoga kileleni, unyonyaji safi kabisa wa matundu yote na mengine mengi,
Sasa unapokuja hapa na kuanza kuniambia mara ooh kalikwenda kakarudi, nakuchora tu kijana.
Nani kasema nimekosa mademu?dah kwaiyo mzee we hauoni noma kupumulia mwanaume mwenzio kisogoni, unakuta msela ana uchebe kabisa kidevuni, na kengele zake mbili, ebu acha kuzingua mkuu mademu wapo kibao ukitaka nenda afrikasana pale ni ww na teni lako tu mkomoane ila sio msela, ukifanyia ivo mtoto wa mtu basi jua na wewe wako kitamkuta kitu kama hiko hiko tu, af pia "uf.r.ji " inaleta mikosi mzee kitu kishakatazwa hadi na Mungu, samtym utaona mambo yako ayaendi ila ni kwajili ya ishu kama izo, ila sio late sana mzee acha tu na umrudie mwenyezi kwani ni Mungu mwenye huruma
Hili nalo neno atii.afua kwa nini pia ma cameramani huwa nao hawaanguki??
Alieongea na shetanii ni Adam au Eva me nipo kukuna kichwaa najiulizaaaa!Yaani hata huko kwenye nyumba za ibada kwenye kuombewa kwa asilimia kubwa wengi wanaoamsha haya mapepo wanakuwa ni wanawake tuu.
Sijawahi kuona eti mtu mzima tena alovaa suti na tai yake eti anagalagala chini kaamsha mapepo hivi kuna siri gani kwenye hii jinsia ya kike kushambuliwa na hawa viumbe.
Hahaa eti sutilabda mapepo yatakuwa yanaheshimu sana suti, btw ngoja tuwasubiri wajuvi watudadavulie hapa..
Umenikumbusha mwaka juzi nilidate na mwanadada mwenye pepo saba,
Ile tuko kitandani tunataka tufanye yetu,
katika tomasa za hapa na pale,
pepo saba zinaamka.
ilikuwa ukipiga bao la kwanza, pepo la kwanza linatulia, la pili hivyo hivyo, mpaka pepo la saba litulie,
Ilikuwa mtihani kipindi hicho,
siku zilipozidi kwenda, nikmletea kitimoto ndani, ikawa ndiyo kikomo cha wale pepo saba.
Mpaka leo huwa tunaangalia zile video nikiwa katika harakati za kuyatuliza mapepo yote saba, basi inabaki tunacheka tu.
Kwa hiyo wana laanaHawa wapo pamoja tangu enzi za Eden, hivyo kuangusha kwao ni jambo la kawaida
Mapepo ni stress wakati mwingine
Na sisi wanawake wepesi kupata msongo
Kuna wakati mtu unadata kabisa unaongea pekeyako unapiga makelele
Atafanya la maana saanaunaweza kuunganisha huo uzi wa mshana hapa ili tusome??
View attachment 1235998View attachment 1235998Hii Avatar yako huwa inanichekesha sijui kwanini tu!
afua kwa nini pia ma cameramani huwa nao hawaanguki??
swali la msingi sana hili
anha nmekumbuka bhna huwa hawanguki coz huwa wanajishikilia kwenye stand za kamera(joking)
Nenda stendi kwamza utajua
Wa stand nilicheka sana siku Gwajima anakazana kumwombea Nabii Tito alafu Tito wala haanguki,Gwajima akaanza swaga za kumsukuma nayo ikagonga Gwajima akaanza matusi kubadilisha huo Upepo wa kisuli suli....Akaja na snag ya kudos Kuhusu msalaba wa Tito.
Kwa sababu ni viumbe dhaifu