Sijawahi kuanguka mapepo ila kudata inatokeaga sometimes, naamini kila mtu inamtokea au imewahi kumtokeaPoleni sana vipi wee uliwahi kudata kwa mapepo
Na wanaume nao?Hakuna cha mapepo wala nini,ni nyege tu zilizozidi,dawa yake ni dudu tu
Pepo saba ili zitulie ni bao saba, Dunia tunazunguka nayo hivyo hivyoUmenikumbusha mwaka juzi nilidate na mwanadada mwenye pepo saba,
Ile tuko kitandani tunataka tufanye yetu,
katika tomasa za hapa na pale,
pepo saba zinaamka.
ilikuwa ukipiga bao la kwanza, pepo la kwanza linatulia, la pili hivyo hivyo, mpaka pepo la saba litulie,
Ilikuwa mtihani kipindi hicho,
siku zilipozidi kwenda, nikmletea kitimoto ndani, ikawa ndiyo kikomo cha wale pepo saba.
Mpaka leo huwa tunaangalia zile video nikiwa katika harakati za kuyatuliza mapepo yote saba, basi inabaki tunacheka tu.
Mkuu sababu kubwa kwa wanawake kuwa hivyo ni saikolojia yao, angalia maana ya huo msamiati hasa namba moja.Yaani hata huko kwenye nyumba za ibada kwenye kuombewa kwa asilimia kubwa wengi wanaoamsha haya mapepo wanakuwa ni wanawake tuu.
Sijawahi kuona eti mtu mzima tena alovaa suti na tai yake eti anagalagala chini kaamsha mapepo hivi kuna siri gani kwenye hii jinsia ya kike kushambuliwa na hawa viumbe.
nenda fb page yake amewahi toa somo hiliMwambie father Amigu atupie ka uzi humu
Aisee yani ata mimi uwa nashindwa kuelewa kabisa kameramani kwa nn hawadondoki na mapepoafua kwa nini pia ma cameramani huwa nao hawaanguki??
Huo ugonjwa ndio ukoje na sababu zake ni zipi?Mapepo siyo viumbe bali ni ugonjwa miongoni mwa magonjwa ya akili kitaalamu ugonjwa huo unaitwa Hysteria, unawashika hasa jinsia ya kike.
Yaani hata huko kwenye nyumba za ibada kwenye kuombewa kwa asilimia kubwa wengi wanaoamsha haya mapepo wanakuwa ni wanawake tuu.
Sijawahi kuona eti mtu mzima tena alovaa suti na tai yake eti anagalagala chini kaamsha mapepo hivi kuna siri gani kwenye hii jinsia ya kike kushambuliwa na hawa viumbe.
Hiyo ya kuogopa mtihani ni kiboko [emoji1787][emoji1787][emoji1787] haijaniingia akilini mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu zinaweza kuwa moja kati ya hizi zifuatazo
1] Idadi ya wanawake sehemu nyingi huwa kubwa kuliko wanaume, hivo lazima utaona wanawake ndio waathirika zaidi.
2] Mwanammke akiwa katika ada yake ya mwezi mwili wake huwa dhaifu kiroho na hata kama alikua na ibada zake anafanya basi kipindi hichi wanawake wengi huwa wanaacha kwa kujihisi wapo wachafu.
3] Majini ama mapepo kama ulivyowaita wanatamani kama wanavyotamani wanaume wa kibinaadamu.
4]Wanawake wengi wana roho dhaifu hivo huwa wahanga wakubwa wa kurogana [wanatumiana hayo mapepo]
5]Wanawake wanajipamba sana hivo huwa inachochea zaidi kuwavutia majini, rudia namba 3.
6] Si kila mwanammke anae chagawa kuwa ana mashetani bali wengine huwa msongo wa mawazo uliopitiliza. Muda mwingi huwa hisia tu, ama kutendwa au kukosa mume.
7] Wakati huwa wanaigiza tu sana sana mashuleni kwa kuogopa mtihani.