Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 644
- 927
Unakuta mtu ana vingi lakini anateseka na kimoja alichokosa ni kweli aiseeTunachokubaliana walau ni kuwa ubongo wa mwanamke una JAM haraka na hvyo kuingiwa na kuweweseka na sio majini wala nini. Wenye mabos wanawake wana uzoef kuhusu panic za mwanamke. Pia wana tatzo la kuvuta hisia kali utadhan wameumbwa na cha arusha automatically. Ukiona mtu anataka kila zuri akikosa analalama WHY ME jua ubinafs unamtafuna. Kuna mengine unaweza kukosa na ukajisemea ooh nina hiki lakin. Wanawake wanashindana sana na Mungu bila kujua.
Sababu zinaweza kuwa moja kati ya hizi zifuatazo
1] Idadi ya wanawake sehemu nyingi huwa kubwa kuliko wanaume, hivo lazima utaona wanawake ndio waathirika zaidi.
2] Mwanammke akiwa katika ada yake ya mwezi mwili wake huwa dhaifu kiroho na hata kama alikua na ibada zake anafanya basi kipindi hichi wanawake wengi huwa wanaacha kwa kujihisi wapo wachafu.
3] Majini ama mapepo kama ulivyowaita wanatamani kama wanavyotamani wanaume wa kibinaadamu.
4]Wanawake wengi wana roho dhaifu hivo huwa wahanga wakubwa wa kurogana [wanatumiana hayo mapepo]
5]Wanawake wanajipamba sana hivo huwa inachochea zaidi kuwavutia majini, rudia namba 3.
6] Si kila mwanammke anae chagawa kuwa ana mashetani bali wengine huwa msongo wa mawazo uliopitiliza. Muda mwingi huwa hisia tu, ama kutendwa au kukosa mume.
7] Wakati huwa wanaigiza tu sana sana mashuleni kwa kuogopa mtihani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana sana ni kutafuta attention tu. Typical tabia ya kike.Wengi niliowashuhudia hasa kwenye maombi hua hawana mashetani wala nini. Ni vile tu wanawake by nature hua wanapenda kupiga makelele na kujigalagaza chini hasa wanapozidiwa na emotions. We huonagi ata kwenye misiba wanawake wanavyofanyaga vituko?
Takuwimu zinaonesha wanawake ndio waendao kwa waganga kwa asilimia kubwa, siwezi kukupa proof ya namba ila uzoefu unaonesha hivo.Hata na wewe hili huwezi kupinga, je unaweza?How can you prove kuwa wanawake Wana roho dhaifu?
Dah...wanaume mmejivika Ukuu mpaka kwenye roho za wanawake.So mwanamke no dhaifu kimwili,kiroho na kiuchumi?
Ili mradi mumuweke awe kiumbe duni Tu.Wengine hudiriki kusema mwanamke ana Akili ndogo zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vitu havipo.May Day, Huwezi amini Mungu yupo ukaacha kuamini uwepo wa hivi vitu. Kama huamini tembea mikoa kama vile Tabora,Tanga, na Zenji utaelewa uwepo wa hivi vitu.
Ingawa ukiwa na Imani yako imesimama utavisikiaga tu kwa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote ni kitu kimoja, ni viumbe ambao wanaishi katika ulimwengu ambao ni parallel na ulimwengu tunaoishi wanaadam, wanamaisha mfano wa maisha yetu sisi, hawawezi kuonekana wakiwa katika umbile lao husika mpka watakapo chukua umbile la kitu chengine, wanaishi muda mrefu zaidi kuliko wanaadam.Majini au mapepo au mizimu ni nini ?
Unajuaje kwamba haya ni majini au mapepo au mizimu ?
Unafahamu hujajibu majini au mapepo au mizimu ni nini.Vyote ni kitu kimoja, ni viumbe ambao wanaishi katika ulimwengu ambao ni parallel na ulimwengu tunaoishi wanaadam, wanamaisha mfano wa maisha yetu sisi, hawawezi kuonekana wakiwa katika umbile lao husika mpka watakapo chukua umbile la kitu chengine,
Msituchanganye hapa. Kwanza wanawake wenye majini wengi wao ni waislam.
Wengi wao hawana elimu ya darasani.
Wengi wao huyapata wakiwa wadogo hawajawa na hayo majanaba wala hedhi, huanza kuanguka shuleni tena kwenye shule za kimaskini ndio wengi.
Wengi wao ni kutoka tanzania... sijasikia wanawake wa kizungu wanaanguka shuleni wakati wao ndio wanaongoza kuishi na majanaba.