Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 644
- 927
Unakuta mtu ana vingi lakini anateseka na kimoja alichokosa ni kweli aiseeTunachokubaliana walau ni kuwa ubongo wa mwanamke una JAM haraka na hvyo kuingiwa na kuweweseka na sio majini wala nini. Wenye mabos wanawake wana uzoef kuhusu panic za mwanamke. Pia wana tatzo la kuvuta hisia kali utadhan wameumbwa na cha arusha automatically. Ukiona mtu anataka kila zuri akikosa analalama WHY ME jua ubinafs unamtafuna. Kuna mengine unaweza kukosa na ukajisemea ooh nina hiki lakin. Wanawake wanashindana sana na Mungu bila kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app