SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,795
- 1,304
Pepo ni nini?Naongezea kwa miss chagga. Mwanamke kwa asili ni muoga na anayejipenda sana. Uoga wao upelekea kupatwa na pepo, pia kujipenda kwao kunawapelekea kujipaka marashi yanayowavutia pepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pepo ni nini?Naongezea kwa miss chagga. Mwanamke kwa asili ni muoga na anayejipenda sana. Uoga wao upelekea kupatwa na pepo, pia kujipenda kwao kunawapelekea kujipaka marashi yanayowavutia pepo.
Pepo ni nini?
Ndugu wananchi wenzangu naomba kueleweshwa, hivi nikwanini wasichana /wanawake tu makanisani hulia na huangushwa na mapepo nyakati za maombi na kuabudu? Sikatai kua wavulana au wanaume kutokuwepo ila wasichana/wanawake wamezidi.
Asanteni.
Pepo ni nini?
Kwa sababu ndio wateja wakubwa wa waganga wa kishenzi
Shetani alishindwa kumuangusha Adam katika bustani ya Eden, ila baada ya kupewa msaidizi wa kufanana naye, Adam aliangushwa kupitia huyo msaidizi!
Mpaka leo shetani humuangusha mwanaume/familia/ukoo hata taifa kupitia mwanamke kwasababu mwanamke ni kiumbe dhaifu wala si mtu!
Na ndio maana mapepo ni rahisi sana kuwaingia wanawake nakufanya mipango yao mibaya kupitia wanawake!
HABARI ZENU NYOOTE!
Tunahitaji kujua uhusiano wa kuanguka mapepo na wanawake.
Je,ni kwa nin kwa kiwango kikubwa wanaokumbwa na kuanguka au kupagawa na mapepo ni wanawake\wasichana?
Nasema wanawake kwa sababu:
A.tukichunguza mashuleni au vyuoni kwa kiwango kikubwa unakuta wasichana ndiyo wahanga wa kuanguka au kupagawa mapepo.
B.vile vile makanisan {hasa ya kilokole} unakuta wanao anguka na kuombewa mapepo ni manawake.
sasa najaribu kujiuliza kwa nini wanawake\wasichana tu ndiyo kwa kiwango kikubwa hukumbwa na tatizo hili?
KARIBUN KATIKA TAFAKULI YAKINIFU.