MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Vizuri mkuu kama ni kweli,maana dunia ya saiv ushirikina umetawala [emoji20]
Mkuu ushirikina haumshindi mungu mche mungu kwa moyo wako wote na baraka zake zitakuwa pamoja nawe
 
Lakini hayo majini yanakuwa yanawaamrisha yaleyale yaliyo amrishwa na vitabu na hadithi za mtume na maswahaba, hapo ndiko kizungumkuti kinapoanzia, yaani mwanamke mwenye majini atauuishi uislamu zaidi kuliko asiye kuwa nayo, tena kwa taarifa pia, hata awe ni Mkristu, yakishamvaa tu atauishi uislamu ktk mambo mengi sana.

Mfano anaweza akazuiwa asiingiie kanisani, akaamrishwa kutofanya kazi ijumaa, udi, mavazi nk. Hapo nako kuna walakini juu ya huu mshikamano, tujifunze zaidi.
Kwa taarifa yako, mtu mwenye majini hakuna jambo analofanya likawa jema, hakuna jini linaloingia kwa binaadamu then huyo binaadamu akafanya mema. Kiufupi hakuna jini linalomuamrisha mtu kufuata mafundisho yaliyo katika vitabu vya mitume zaidi ya kumpeleka mtu kwenye upotofu. Sipendi kubishana, weka ushahidi na mimi niweke ushahidi juu ya hili.
بعد اعوز باالله من الشيطان الرجيم، بسم الله الرحمن الرحيم.
Surah Adh-Dhariyat [51:56]
 
Umaskini ndio unawasumbua mataifa ambayo wanawake wamepiga hatua huwezi kukuta huo ujinga, so elimu elimu elimu kubwa sana inahitajika kwa mama zetu na hii hata kwa taifa letu maana naona hata kasii yetu ya maendeleo ni kidogo ukilinganisha na wenzetu.
Sio kweli, Nenda ulaya na asia, wanawake wengi sana wana mapepo. The only difference sio church goers pia maana hwa wakiafrica huenda sana kanisani mabao ndio hayo mapepo hujidhihirisha. Ila naambiwa kina dini Moja kubwa majini ni sehe ya viumbe wanoabudu nao kwenye nyumba zao za ibada, labda watuambie mapepo yataka nin kwa wanawake?
 
Kwa taarifa yako, mtu mwenye majini hakuna jambo analofanya likawa jema, hakuna jini linaloingia kwa binaadamu then huyo binaadamu akafanya mema. Kiufupi hakuna jini linalomuamrisha mtu kufuata mafundisho yaliyo katika vitabu vya mitume zaidi ya kumpeleka mtu kwenye upotofu. Sipendi kubishana, weka ushahidi na mimi niweke ushahidi juu ya hili.
بعد اعوز باالله من الشيطان الرجيم، بسم الله الرحمن الرحيم.
Surah Adh-Dhariyat [51:56]
Ukienda huko kwa wenye hii dini husema kuna majini mazuri na yaliyo mabaya.
 
Uwezo wa kufikiri wa jinsia hiyo (mwanamke halisi, na wanaume ambao wana vinasaba vya kike) ni mdogo. Ni wepesi wa kuamini na kuhemkwa. na akisha amini habanduki. Tuwahurumie.
 
kwa sabubu wana matundu mengi yenye uwezo wa kupitisha vitu vikubwa vikubwa.

Na wanawake wengi wakitibiwa huisha wanaume hayaishag kirhis
 
Teamo,

1.Ni rahisi kushawishika: Shetani alimfuata mwanamke na kumdanganywa ale tunda la bustani ya eden.

2.Ukisoma katikaa maandiko ya enoki, baadhi ya wana wa mungu ambao leo hii ni mapepo wapivyoona ya kwamba dunia imeanza kujaa na kuna binadamu wa jinsia ya kike wazuri hao malaika wa kipindi kile waliona yafaa kujitwalia wanawake hao kimyume na mungu alivyopanga na waliwafundisha jinsi ya kufanya mazingaombwe (uchawi), Hawa ndio walikuwa wa kwanza kufundishwa haya mambo na sio wanaume....NI MTAZAMO TU
 
Msiwalaumu wanawake bure, mnatakiwa mjue kwamba kiumbaji mwanaume amepewa uungu yani uwezo wa kuumba kitu, na ndio mana hata wanapokutana kimwili mwanaume anatoa mbegu ambazo mwanamke anazihifadhi hadi hapo mtoto atakapokuwa tayari kuzaliwa hivyo, Mapepo, shetani, mwanaume na viumbe vingi viliumba na mwenyezi Mungu ila mwanamke alitoka katika mwili/ubavu wa mwanaume.
Hivyo viumbe wengine huwa wanamwogopa mwanaume sababu ana uungu ndani yake na ana uwezo mkubwa kama walivyo mashetani, mapepo n.k.

Hii hali ipo hata kwa wanyama kama nyani wanapokula mazao shambani wanapomuona mwanamke hawaogopi ila wanapomuona mwanaume lazima waogope.

Hivyo jambo la mwanamke kutoogopwa na viumbe wengi ni la kiumbaji zaidi kuliko wadau wengine walivyoelezea.
Note:
mwanaume ana uwezo mkubwa sana ambao unaendana kidogo na nguvu za mashetani na mapepo kiumbwaji na ndio mara nyingi shetani anashindwa kumu attack mwanaume moja kwa moja hivyo anamtumia mwanamke kumvuruga mwanaume sababu anajua mwanaume ni mdhaimu kwa mwanamke kwa kuwa ametoka mwili wake au ubavu kama maandiko matakatifu yanavyosema.
Nitaendelea badae kwa mjadala zaidi..

Jibu lako lina tani 90 mkuu.
Bravo!
 
Wanawake wana nyege sana na wakikaa muda mrefu bila kugegedwa zile nyege zao hukimbilia kichawni na kugeuka mapepo/mashetani
 
Sio kweli, Nenda ulaya na asia, wanawake wengi sana wana mapepo. The only difference sio church goers pia maana hwa wakiafrica huenda sana kanisani mabao ndio hayo mapepo hujidhihirisha. Ila naambiwa kina dini Moja kubwa majini ni sehe ya viumbe wanoabudu nao kwenye nyumba zao za ibada, labda watuambie mapepo yataka nin kwa wanawake?

Nimeishi huko na sijaona hayo majini kwa wanawake
 
Teamo,
Jibu lako linapatikana kwenye BIBLIA mwanzo 3:14-15
14 Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako; 15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.

Ngoja anaezungumziwa hapo ni shetani na mamlaka take yote, na nyoka anapoambiwa uzao wa mwanamke utamponda kichwa ni kupitia Yesu Kristo ambae alizaliwa na Marium, hivyo ili mwanamke awe salama ni lazima ampokee Yesu na asimame katika imani yenye matendo kweli kweli vinginevyo hiyo laana ya majini mapepo na mambo yote ya kishetani yatamhusu sana na kumtesa. Huo ndio ukweli usio na chembe juu ya uhusiano wa mapepo na majini na mwanamke, Mungu akupe neema ya kulijua neno lake usiishie kwenye hili tu
 
Anae kataa kua uchawi haupo huyo ni mtoto tena hatakiwi kutoa ushauli wowote mbele zawanaume atulie
 
Wanasema mostly of fhem they're weak than man

Yaan mm najua hvo mngine aje aendeleze hapo
 
Binafsi ninamuunga mkono mtoa mada japo kidogo. Hili swali nimekua nikijiuliza sana tena kwa muda mrefu sana. Sijawahi kuona mkutano wa dini umefanyika au maombi yamefanyika alafu mwanaume mtu mzima au mvulana akapandisha mashetani. Siku zote nimekua nikiona wanawake tu wasichana kwa wamama watu wazima.
Ni kwa sababu ya elimu duni, kwa Dada zetu, mama zetu na mazingira tuliyokulia na umasikini. Pia utapeli umekuwa mwingi sana kwa hawa wachunga kondoo hili wapate pesa. Uwezi kuta ulaya, Asia, America huu upuuzi.
 
Urafiki wao ulianzia Bustani ya Adeni.

Hawa (Eva) ndiye binadamu wa kwanza kuzungumza na Shetani na kumkubalia uwongo wa Shetani aliyejigeuza ktk umbo la Nyoka.
Hadi akala naye tunda lililokatazwa na Mungu.

Ref Mwanzo 3 : 1 - 6.

Hadi leo Shetani anaamini kuwa mwanamke anadanganyika kirahisi kuliko mwanamme.

Shetani hadi leo anaendelea kumtumia mwanamke ili kuupotosha ulimwengu.
Angalia jinsi baadhi ya wadada wanavyozianika picha zao za uchi mtandaoni, wanavyotembea uchi na kukaa uchi na hata kupiga picha za kawaida na za video wakiwa uchi.
Shetani anapenda kuwatumia wanawake kwakuwa baadhi yao wanashawishika kirahisi kufanya dhambi.

Nimesema Baadhi Yao.
 
Back
Top Bottom