MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Bado elimu ya majini kama ifundishwavyo na uislamu inakanganya sana, kuna wanaosema kwamba yale yote yanayowakumba watu ni majini waasi, sasa mbona huwa yanawaamuru viti wao kutimiza yote yaliyo kwenye uislamu, tena inasemekana na ndivyo ilivyo, huwa viti wao ni wasafi washika udhu, hawataki janaba na ni swala tano, akizingua hayo huchapwa na majini yao, huyu naye anasema yanapenda uchafu, hapaeleweki hapo.
Hawa wazee wanazingua sana
 
Majini wema ndio wapi hao? Waweza kututajia majina yao?
Kama unaweza kutaja binadamu wepi ni wema na wepi wabaya basi na majini utaweza.Wao ni jamii kama tulivyo binadamu au kuna binadamu Fulani wema na wengine wabaya?
 
Somo zuri wahusika wamekuelewa nadhani
Ila Hawa wajuzi wa mambo haya waanze na elimu ya awali kwamba:
1.majini ni nini
2.nini historia yao
3.nini lengo la kuumbwa kwao
4.wanaishi wapi
5.nini mahusiano yao na wanadamu
Haya nadhani yanaweza kupunguza mengi ya maswali maana inaonyesha watu wanachangia wasichokijua.
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Beef Lasagna maswali umeonA hapa
Enhee bana.
 
Ila Hawa wajuzi wa mambo haya waanze na elimu ya awali kwamba:
1.majini ni nini
2.nini historia yao
3.nini lengo la kuumbwa kwao
4.wanaishi wapi
5.nini mahusiano yao na wanadamu
Haya nadhani yanaweza kupunguza mengi ya maswali maana inaonyesha watu wanachangia wasichokijua.
Mkuu unataka elimu hii kutokea upande upi maana uislam una maelezo yake lakini pia kuna maelezo kutoka pande tafauti na uislam nao wana maelezo yao kuhusiana na majini.
 
AbouZakariya,
Wewe umesaidia kwa kiwango kikubwa sana. Vipi pia kuhusu hii hoja, kwanini yote yanajifungamanisha na uislamu tu hata yale mabaya? Namaanisha, hata pale anapomshika hatamu kiti wake, si ndo angemperekesha ktk dini zingine ambazo ni za kishetani (kwa mtazamo wa kiislamu), sasa amwamrishe kula nguruwe, kusali jumapili, nk? Hapa napo huwa sipaelewi, falme moja huwa haipingani.
 
Mkuu unataka elimu hii kutokea upande upi maana uislam una maelezo yake lakini pia kuna maelezo kutoka pande tafauti na uislam nao wana maelezo yao kuhusiana na majini.
Kutoka huko kwa Uislamu mkuu!
 
Bado elimu ya majini kama ifundishwavyo na uislamu inakanganya sana, kuna wanaosema kwamba yale yote yanayowakumba watu ni majini waasi, sasa mbona huwa yanawaamuru viti wao kutimiza yote yaliyo kwenye uislamu, tena inasemekana na ndivyo ilivyo, huwa viti wao ni wasafi washika udhu, hawataki janaba na ni swala tano, akizingua hayo huchapwa na majini yao, huyu naye anasema yanapenda uchafu, hapaeleweki hapo.
Jini yoyote anayemuingia mwanadamu ni muasi. Hata akimuamlisha kuswali lakini baadae atamuamlisha kufanya ushirikina.
 
Beef Lasagna,
Kuna kitu kinanichanganya naomba kujua, kwanini watoto wa kike wa kiislam ndo huwa wanadondoka sana na hayo mapepo?
 
Kwanini majini hayamuamrishi mtu waliyemuingia aende kanisani. Lazima yatamwambia aanze kuswali msikitini
 
Back
Top Bottom