Super Don
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,978
- 1,781
Hawa wazee wanazingua sanaBado elimu ya majini kama ifundishwavyo na uislamu inakanganya sana, kuna wanaosema kwamba yale yote yanayowakumba watu ni majini waasi, sasa mbona huwa yanawaamuru viti wao kutimiza yote yaliyo kwenye uislamu, tena inasemekana na ndivyo ilivyo, huwa viti wao ni wasafi washika udhu, hawataki janaba na ni swala tano, akizingua hayo huchapwa na majini yao, huyu naye anasema yanapenda uchafu, hapaeleweki hapo.