majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
Hakuna anayekuchanganya ,ni kiasi cha kujibu hoja kwa hoja. Hapa nimezungumzia wanawake kwa ujumla wa dini zote hata kwenye maombez wanawake ni wahanga kuliko wanaume. Hata makanisani wanaoanguka na mapepo wengi ni wanawake tofauti na wanaume . Kinachotakiwa uweke chanzo tofauti na hayo niliyoaelezea .
Kama ni wanawake kwa ujumla... kwa wakrito hakuna kitu janaba, na kingekuwepo wanawake wote wa kikristo wangekuwa na majini. Wa kizungu wangeongoza.
Issue ya hedhi hata wasioanza kupata hupata majini.
Sikubaliani na sababu ulizotoa kuwa zinasababisha kupata majini.