MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Hakuna anayekuchanganya ,ni kiasi cha kujibu hoja kwa hoja. Hapa nimezungumzia wanawake kwa ujumla wa dini zote hata kwenye maombez wanawake ni wahanga kuliko wanaume. Hata makanisani wanaoanguka na mapepo wengi ni wanawake tofauti na wanaume . Kinachotakiwa uweke chanzo tofauti na hayo niliyoaelezea .

Kama ni wanawake kwa ujumla... kwa wakrito hakuna kitu janaba, na kingekuwepo wanawake wote wa kikristo wangekuwa na majini. Wa kizungu wangeongoza.
Issue ya hedhi hata wasioanza kupata hupata majini.
Sikubaliani na sababu ulizotoa kuwa zinasababisha kupata majini.
 
Asante kwa kushiriki.
 
Nimeelezea Kwa upande ninaoufaham ,ingekuwa vizuri akatokea mtu akaelezea kwa upande wa wanawake wa kikristo tatizo hasa nini wanawake kuwa na mapepo kwani tatizo hili ni la dini zote mbili kwakweli

Sasa hapa huoni kama ulitakiwa utulie Kwanza na uje na ' Utafiti ' jumuishi ili ' bandiko ' lako liwe na mvuto zaidi Kifikra kuliko kuegemea tu upande mmoja wa Kiislamu na kutuacha Sisi Wakristo tuwe na sintofahamu nyingi? JF ina Wanaoabudu na Wasioabudu Mkuu hivyo ' Logical convincing ' inatakiwa iwe ya hali ya juu sana.

Hata hivyo nakushukuru kwa kuweza kutuweka wazi kwamba kumbe ' Majini ' huwaganda sana Wanawake wa ' Kiislamu ' kwani kuna mmoja ndiyo nilikuwa nataka ' nikambandue ' mchana wa leo hivyo umenisaidia kunikwepesha na hayo ' Majini ' Mkuu. Ubarikiwe sana!
 
Ukweli nikuwa ukimuamini Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai na kumtegemea huwezi kupatwa na hayo majini/ mapepo.
Suala la hedhi, damu ya uzazi hayo yote ni maumbile kibinadamu na hayana mahusiano na majini/ mapepo. Aidha suala la kutawadha inategemea desturi, mazingira, makuzi ya mtu n.k japo kiuhalisia ni vema kutumia maji zaidi japo haina mahusiano na majini/ mapepo.

Mwishoni tambua kuwa majini/ mapepo yote ni kazi yaShetani na hayana nafasi kwa watu wanaomtegemea Mungu. Kushirikiana na majini au hata kupenda kujua habari zao yote in chukizo mbele za Mungu wetu.
 
Sasa si tuliambiwa majini ni viumbe vyenye kumtii Mungu (Allah), nijuavyo Mungu yuko kinyume na uchafu, inakuwaje hapa mbona hizi habari zinachanganya, au majini nayo huugua uchizi kwahiyo hizi ni sifa za majini vichaa?
Majini ni viumbe wa Allah kama ilivo wanaadamu..

Kama wanadamu wanavyomuasi Allah na majini ni hivo hivo.
 
Ukweli nikuwa ukimuamini Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai na kumtegemea huwezi kupata na hayo majini/ mapepo. Suala la hedhi,kutawaza,damu ya uzazi hayo yote nimaumbile ya kibinadamu hayana mahusiano na majini/mapepo. Aidha suala la kutawadha inategemea desturi,mazingira,makuzi ya mtu n.kk japo kiuhalisia ni vema kutumia maji zaidi japo haina mahusiano na majini/ mapepo.
Mwishoni tambua kuwa majini/ mapepo yote ni kazi yaShetani.
Asante ubarikiwe.
 
Sasa si tuliambiwa majini ni viumbe vyenye kumtii Mungu (Allah), nijuavyo Mungu yuko kinyume na uchafu, inakuwaje hapa mbona hizi habari zinachanganya, au majini nayo huugua uchizi kwahiyo hizi ni sifa za majini vichaa?
Viumbe wenye kumtii Mungu 100% ni malaika pekee, majini na binadamu tunatakiwa tumtii Mungu, lakini kwa vile ni wajeuri tuajipa machaguo yetu kama ni kuishia motoni au peponi
 
Japo mimkristu nakubaliana na hoja zako sababu hata upande wetu ukiangalia wenye kusumbuliwa na ivi viumbe ni wanawake.
Ingawa mimi ni mkristu, ingawa mimi ni mchaga, inagwa mimi ni chadema, ingawa mimi ni mwafrika ,ingawa mimi natoka dar etc. ni kutoka kwa watu wenye hoja ndogo sana.Nani kakuambia kuwa mkristu ndio kunakufanya uje vyema misingi na maandiko ya Kikristu? we tetea ajini ujuavyo km umeenda sana kwa waganga. Wanawake lazima wapate majini sana kwa vile wengi wana malezi mabaya, matokeo yake wanapenda sana shortcuts,ambazo zinawafikisha ktk shida nyingi sana. Ni wanawakae hao hao, ndio wanatapeliwa na kutapeliana ktk vikoba, ni wanawake hao wanauza watoto wao.
 
Wewe elmu GANI ya majini?!au unataka tu uikosoe uislamu unavyotaka wewe??
Tena nikufahamishe hakuna viumbe fitna kama Hawa.ukimkuta muumini ni muumini kiukweli ukimkuta mchafu ni mchafu hasa....
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba yale matakwa yao ya kuusimamisha uislamu ni fitina tu ya majini wafitini? Mi nilidhani majini mafitini yangehtaji kuisimamisha dini ya mola wao shetwani labda, okay maisha ni kujifunza, dunia pana sana hii.
 
Ukimuona mtu anafuata anayoamrishwa na majini jua huyo ni mshirikina
Lakini hayo majini yanakuwa yanawaamrisha yaleyale yaliyo amrishwa na vitabu na hadithi za mtume na maswahaba, hapo ndiko kizungumkuti kinapoanzia, yaani mwanamke mwenye majini atauuishi uislamu zaidi kuliko asiye kuwa nayo, tena kwa taarifa pia, hata awe ni Mkristu, yakishamvaa tu atauishi uislamu ktk mambo mengi sana.

Mfano anaweza akazuiwa asiingiie kanisani, akaamrishwa kutofanya kazi ijumaa, udi, mavazi nk. Hapo nako kuna walakini juu ya huu mshikamano, tujifunze zaidi.
 
Ukweli nikuwa ukimuamini Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai na kumtegemea huwezi kupatwa na hayo majini/ mapepo.

Acha Ujinga wewe...
Huyo yesu kristo mie nilimuamini sana, lakini nikaja kugundua ni porojo tu hakuna lolote...
Mambo ya kutembea na sanamu shingoni, sanamu mbele ya kanisa...
 
Nimeelezea Kwa upande ninaoufaham ,ingekuwa vizuri akatokea mtu akaelezea kwa upande wa wanawake wa kikristo tatizo hasa nini wanawake kuwa na mapepo kwani tatizo hili ni la dini zote mbili kwakweli

mie nadhan hii ianendana na IMANI zaid ! mie ht uniambie vipi eti majini yavutike kuingia kwangu sitakuelewa wala kukuamini !yananiingeje sasa !hahhaa
 
Lakini hayo majini yanakuwa yanawaamrisha yaleyale yaliyo amrishwa na vitabu na hadithi za mtume na maswahaba, hapo ndiko kizungumkuti kinapoanzia, yaani mwanamke mwenye majini atauuishi uislamu zaidi kuliko asiye kuwa nayo, tena kwa taarifa pia, hata awe ni Mkristu, yakishamvaa tu atauishi uislamu ktk mambo mengi sana.

Mfano anaweza akazuiwa asiingiie kanisani, akaamrishwa kutofanya kazi ijumaa, udi, mavazi nk. Hapo nako kuna walakini juu ya huu mshikamano, tujifunze zaidi.

hyo ni kweli kbs mkuu! wanahamiaga upande wa 2 zaid kuyatii ! mie naamini sina chembechembe za majini kuniingia !never
 
Back
Top Bottom