popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Safisheni nafsi zenu na utu wenu wa ndani muone km majini yatakuwepo,fuatilia sana utaona,Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie majini yaliyo mengi yanayotuandama sisi wanawake ni ya kutupiwa na wachawi , na hiyo yote inasababishwa na chuki kati yetu kama , wivu , husda , vijicho, n.k. ndo maana unakuta wanawake tunaongoza kwa kuwa na ugonjwa wa majini na mapepo kwa sababu ya chuki, husda, wivu wa wenyewe kwa wenyewe ..
Mmejaza tamaa,roho mbaya,wivu,husuda,nk nk nk nk na mmejeruhi nafsi zenu ndo maana mnakutwa na hali mnayodhani majini,huu ujinga umetokea sana miaka ya karibuni sababu mmejioverload na mambo machafu,