Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gaijin,hata nchi zilizoendelea mapepo yanawaingia kama kawa tatizo hawatangazi!
Hapana ndugu..hata wanaume wanayo.Ukiangalia dalili zake nadhani kila mtu ana element hiyo ila wengine wamezidi.So long as una "ubaya" na hakuna binadamu aliye kamili basi ujue unayo! Tofauti ni yale madudu mengine yanayomwingia mtu ili kumharibu.Tutofautishe makundi hayo - majini, mashetani, mizimu ( haya siyo kila mtu anapatwa nayo) na pepo/mapepo ( kila kiumbe mtenda dhambi ana pepo na ndio maana kuna pepo la uongo, chuki, hasira, ngono, ulevi, wivu/inda etc).Anayesema hana "evil spirit' basi huyo ni malaika.Hutaki kuwa na mapepo? elewa wanawake ndo wana mapepo na sio wanaume
WoS, hapa kweli sasa tupo kwenye 'ulimwengu wa kiroho'!Hapana ndugu..hata wanaume wanayo.Ukiangalia dalili zake nadhani kila mtu ana element hiyo ila wengine wamezidi.So long as una "ubaya" na hakuna binadamu aliye kamili basi ujue unayo! Tofauti ni yale madudu mengine yanayomwingia mtu ili kumharibu.Tutofautishe makundi hayo - majini, mashetani, mizimu ( haya siyo kila mtu anapatwa nayo) na pepo/mapepo ( kila kiumbe mtenda dhambi ana pepo na ndio maana kuna pepo la uongo, chuki, hasira, ngono, ulevi, wivu/inda etc).Anayesema hana "evil spirit' basi huyo ni malaika.
Gaijin,hata nchi zilizoendelea mapepo yanawaingia kama kawa tatizo hawatangazi!
Naomba nisaidiwe maelezo ya fuatayo ili niweze kuchangia mada:-
Je mapepo ni madude gani?
Je majini ni madude gani?
Je Mashetani ni madubwasha gani?
Je mizimu ni nini?
Je mapepo, majini, mashetani na mizimu ni kitu kimoja?
Je haya madubwana yana sura gani na yanaongea lugha gani?
Unajua ze boss anaweza akakuwa na point, kuna kitu inaitwa postnatal depression, ushawahi kuiskia mwalim? hii inawapata kinamama mara nyingi baada ya kujifungua kipindi wanatoka damu ya uzazi. sasa who knows? pengine ni mapepo yamepewa jina la kizungu tuHivyo sie wa all natural tume-save eee! Perrrrfect :]
Kuna mtu wa mshika dini alinifafanunulia nilipomuuliza swali hilo; kwanini mapepo yanawapata wanawake zaidi kuliko wanaume.
Jibu lake lilikuwa rahisi sana: Wanawake wengi hupenda kuwa na nywele ndefu. Matokeo yake wale wasiokuwa nazo wanabandika mawigi bila kujua yale mawigi yametengeneza na kitu gani. Mawigi yanatengenezwa kutokana na nywele za watu ambao wameshakufa huko Asia, Ulaya na Marekani na kuletwa Africa. Na wanaoyatengeneza wanahusishwa na mapepo. Kwa hiyo huwa ''yanapandikizwa'' mapepo toka yakiwa huko. Mapepo pia ''hupatindikizwa'' kwenye mafuta ya nywele yanayotakiwa kutumiwa na wanawake wanaovaa mawigi.
Haya ni mambo ya kiimani sana. Ila binafsi nilishawishika kuamini hivyo! Japo bado ningependa kusikia zaidi kuhusu ukweli wa jambo hili.
heheeh kamanda umenikata stimu, inamaana inawezekana samtaimu tunalala na ma nusu maiti? ina maana hii miwigi inatoka kwa maiti? khaaaa! hakyanani watanirejeshea mahari yangu
Hivyo sie wa all natural tume-save eee! Perrrrfect :]
mmmh!!!!!
Unajua ze boss anaweza akakuwa na point, kuna kitu inaitwa postnatal depression, ushawahi kuiskia mwalim? hii inawapata kinamama mara nyingi baada ya kujifungua kipindi wanatoka damu ya uzazi. sasa who knows? pengine ni mapepo yamepewa jina la kizungu tu
Of course natural beauty is always perfect. Na ukiangalia watu wanasema mbona wanawake wa kizungu hawapatwi na mapepo, ni mwanamke gani wa kizungu anahitaji kuvaa wigi ili aonekane ana nywele ndefu? Wao za kwao ni ndefu naturally....Wahindi ndio usiseme, they don't need them. Kwa hiyo dampo ni huku Africa sasa!
heheeh kamanda umenikata stimu, inamaana inawezekana samtaimu tunalala na ma nusu maiti? ina maana hii miwigi inatoka kwa maiti? khaaaa! hakyanani watanirejeshea mahari yangu
He he he @ mapepo yalopewa jina la Kizungu.
Na wale walokuwa hawajazaa jee, wao yao yanaitwa kwa kichina-jumanji au?