FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
Umenikumbusha mwaka juzi nilidate na mwanadada mwenye pepo saba,
Ile tuko kitandani tunataka tufanye yetu,
katika tomasa za hapa na pale,
pepo saba zinaamka.
ilikuwa ukipiga bao la kwanza, pepo la kwanza linatulia, la pili hivyo hivyo, mpaka pepo la saba litulie,
Ilikuwa mtihani kipindi hicho,
siku zilipozidi kwenda, nikmletea kitimoto ndani, ikawa ndiyo kikomo cha wale pepo saba.
Mpaka leo huwa tunaangalia zile video nikiwa katika harakati za kuyatuliza mapepo yote saba, basi inabaki tunacheka tu.