Hekaya za Abunuasi
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 166
- 38
Hili Suala ndugu zangu ni LA Kiroho zaidi!Viongozi wa kiroho tupeni majibu!!!""
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du! Pastor kwa kweli umeniwahi kwa kuuliza hili swali. Nami siku za nyuma nmekuwa nkijiuliza swali hili hili.
Siku moja nlijaribu kuuliza hili swali nkapewa jibu lisilo ridhisha nkasema ningekuja kulileta hapa ili tuweze kujua nn chanzo hasa.
Jibu nlilopewa ambalo sikuridhika nalo ni "Jamaa nliyemuuliza hili suala alinambia kuwa, kutokana na sababu za kimaumbile ndio Maana wanawake wengi huingiwa na Mapepo.
Akanifafanulia akasema kuwa,Mapepo/Majini yana hisia kama Mwanadamu, hivyo Basi Mara nyingi wakati wa Usiku Mwanamke akilala Uchi usiku ni rahisi sana Jini/Pepo kumtamani na kuamua kufanya Makazi katika Mwili wake."
Sababu ya Pili aliyonipa ni hii "Kutoka na wanawake kuwa katika Mzunguko wa hedhi kila Mwezi na kuona siku zao/damu, Asilimia kubwa ya Majini/pepo yanavutiwa na Damu,pia chakula chao kikuuu ni Damu. Hivyo Basi kwa wanawake wanaokaa Muda Mrefu bila ya kujisafi wakati wakiwa katika mzunguko wa Hedhi, Hawa wadudu huwaingia na kujipatia Chakula kutoka hiyo sehemu. Na wakivutiwa na Damu yako Basi hufanya Makazi katika Mwili wako huku wakisubiria kila Mwezi ili waweze kujitwalia Damu yako"
Hizo ndio Sababu Mbili alizonipa.
Kuna Mwanazuoni Mwongine aliyesomea Dini zote Mbili(Uislam & Ukristu)
Yeye baada ya kumuuliza hili suala akanambia kuwa Sababu kubwa inayowafanya wanawake wapagawe, sio kwamba wote wanakuwa na Mapepo/Majini, lah, ila sababu inayopelekea wao kupagawa, ni yale Mafuta ya Upako ambayo yanatokana na Mti wa Mzeituni. Akanielezea kuwa yale Mafuta yana nguvu fulani ambayo yakikutana na Mtu ambaye yuko weak(mdhaifu) kiasilia, basi hutokea ukinzano na kumfanya aenze kurukaruka mithili ya Mtu aliye pagawa.
Sikuishia hapo, Nliwahi kumuuliza Nabii Mmoja maarufu hapa Dar, akanambia angenijibu siku akiwa na wasaa kwani nlimtumia sms.
Tunaomba kwa yoyote yule mwenye kujua zaidi ya haya atujuze ili nasi tujifunze kupitia kwenu.
Nawakilisha.
lkn uikipitia hii Post huoni km ina ukweliWhy did Satan first approach the woman in the garden of Eden (before the man)?
Natumai hamjambo. Leo nilikuwa katika huduma mahali fulani. Katika huduma hiyo ulipoeika wakati wa maombi na maombezi wanawake wengi walipagawa na mapepo kulinganisha na wanaume. Na hili nimeliona mara nyingi zaidi na zaidi nimeona nije tujadili pamoja. Tukijua chanzo ni rahisi kusaidiana. Asanteni.
Mtumishi hiv pale biblia inaposema(nyoka alivyoambiwa),'nitaweka uadui kati yako na uzao wa mwanamke, utanirekebisha hapo km nimekosea, ina maana gani?
Kwa lugha ya kibiblia ya agano la kale(kiebrani)neno uadui lina maana ya MWINDANO WA VITA kwamba kila mmoja atakuwa na chuki na wenzie. Baada ya kikao cha zaidi ya saa 6 na mganga wa kienyeji Philemon Juma Afidh wa Mavago Msumbiji,aliyempokea YESU akawa anatoa ushuhuda kujibu swali hili. Nitaleta somo kamili nikipata wasaa mzuri.
kwa sababu wanawake tunaongozwa na hisia ... nafsi zetu ni rahisi kupokea na kuamini haraka kuliko wanaume.... ndiyo maana utaona hata wahubiri hutumia matatizo ya wanawake kama kuwavuta kwa kuwa hisia kwanza kufikiri badae
Kwahiyo hisia zao huongozwa na mapepo?
Pepo hawezi kwenda msela atakula nin?