MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Du! Pastor kwa kweli umeniwahi kwa kuuliza hili swali. Nami siku za nyuma nmekuwa nkijiuliza swali hili hili.

Siku moja nlijaribu kuuliza hili swali nkapewa jibu lisilo ridhisha nkasema ningekuja kulileta hapa ili tuweze kujua nn chanzo hasa.

Jibu nlilopewa ambalo sikuridhika nalo ni "Jamaa nliyemuuliza hili suala alinambia kuwa, kutokana na sababu za kimaumbile ndio Maana wanawake wengi huingiwa na Mapepo.
Akanifafanulia akasema kuwa,Mapepo/Majini yana hisia kama Mwanadamu, hivyo Basi Mara nyingi wakati wa Usiku Mwanamke akilala Uchi usiku ni rahisi sana Jini/Pepo kumtamani na kuamua kufanya Makazi katika Mwili wake."

Sababu ya Pili aliyonipa ni hii "Kutoka na wanawake kuwa katika Mzunguko wa hedhi kila Mwezi na kuona siku zao/damu, Asilimia kubwa ya Majini/pepo yanavutiwa na Damu,pia chakula chao kikuuu ni Damu. Hivyo Basi kwa wanawake wanaokaa Muda Mrefu bila ya kujisafi wakati wakiwa katika mzunguko wa Hedhi, Hawa wadudu huwaingia na kujipatia Chakula kutoka hiyo sehemu. Na wakivutiwa na Damu yako Basi hufanya Makazi katika Mwili wako huku wakisubiria kila Mwezi ili waweze kujitwalia Damu yako"

Hizo ndio Sababu Mbili alizonipa.

Kuna Mwanazuoni Mwongine aliyesomea Dini zote Mbili(Uislam & Ukristu)
Yeye baada ya kumuuliza hili suala akanambia kuwa Sababu kubwa inayowafanya wanawake wapagawe, sio kwamba wote wanakuwa na Mapepo/Majini, lah, ila sababu inayopelekea wao kupagawa, ni yale Mafuta ya Upako ambayo yanatokana na Mti wa Mzeituni. Akanielezea kuwa yale Mafuta yana nguvu fulani ambayo yakikutana na Mtu ambaye yuko weak(mdhaifu) kiasilia, basi hutokea ukinzano na kumfanya aenze kurukaruka mithili ya Mtu aliye pagawa.
Sikuishia hapo, Nliwahi kumuuliza Nabii Mmoja maarufu hapa Dar, akanambia angenijibu siku akiwa na wasaa kwani nlimtumia sms.
Tunaomba kwa yoyote yule mwenye kujua zaidi ya haya atujuze ili nasi tujifunze kupitia kwenu.
Nawakilisha.

cc Schiendler
Mkuu hapa leo umetumwagia kimombo
Why did Satan first approach the woman in the garden of Eden (before the man)?
lkn uikipitia hii Post huoni km ina ukweli
Hebu saidia hapo naona una kaujuzi na uzoefu wa kutoa haya mav2
 
na dhani shetani ana wapata kirahisi mana wanashughulika sana kwenye familia pia kama ile kesi ya hawa na nyoka urahisi wa kudaganyika
 
Wanawake ndiyo mapepo hakuna ubishi juu ya hilo,lucifer huwa ni kitoto kidogo kwa umbile
Lakini mwanamke kila miaka kumi huu badilika na kuwa shetani kulingana na pepo au shetani alilo nalo
Akikataa kumpokea huteswa na mwisho hukubali kula kiapo na kuanza kumtumikia shetani wake bila kutoa siri
Hiyo Bali kwa washirika wake tu ama wachawi au taasisi yeyote ile duniani wacheza dansi majumba ya ukahaba vyama vya siasa
Au hata kucheza uchi Mbele za umma bila hofu ni hatari viumbe hawa ili kumthibiti mke wako au mototo wako wakike lazima
Uwe bingwa sana wa mambo ya majini na mashetani kwa sasa wataalamu hawa ni wachache hata mapadri au mashehe wa najua
Sana Kuwa siyo KAZI rahisi kupambana na viumbe hawa bila wakati mwingine kuteswa wao wenye hata kuaibishwa hadharani
Kufumaniwa na hata vifo vya aibu Kama kufia nyumba za kulala wageni au kwanye nyumba za Hao wanawake
Hali hii huwa katisha tamaa waumini wao na kuzarau hutuba na maelekezo Yao kwa ujumla viumbe hawa ni wa hatari sana
Nabii Sulemani alikwama kwa jinni sikolastika hivi kumkufuru mungu na ufalme wake kuanguka
Yapo Mengi Leo maishia hapa
Soma-Occult and Black Magic-Soma Gremorum Verum ( utapata mambo haya yote
Mwana jamii Haji Rashid Amani
 
Natumai hamjambo. Leo nilikuwa katika huduma mahali fulani. Katika huduma hiyo ulipoeika wakati wa maombi na maombezi wanawake wengi walipagawa na mapepo kulinganisha na wanaume. Na hili nimeliona mara nyingi zaidi na zaidi nimeona nije tujadili pamoja. Tukijua chanzo ni rahisi kusaidiana. Asanteni.

Mtumishi hiv pale biblia inaposema(nyoka alivyoambiwa),'nitaweka uadui kati yako na uzao wa mwanamke, utanirekebisha hapo km nimekosea, ina maana gani?
 
Mtumishi hiv pale biblia inaposema(nyoka alivyoambiwa),'nitaweka uadui kati yako na uzao wa mwanamke, utanirekebisha hapo km nimekosea, ina maana gani?

Kwa lugha ya kibiblia ya agano la kale(kiebrani)neno uadui lina maana ya MWINDANO WA VITA kwamba kila mmoja atakuwa na chuki na wenzie. Baada ya kikao cha zaidi ya saa 6 na mganga wa kienyeji Philemon Juma Afidh wa Mavago Msumbiji,aliyempokea YESU akawa anatoa ushuhuda kujibu swali hili. Nitaleta somo kamili nikipata wasaa mzuri.
 
Kwa lugha ya kibiblia ya agano la kale(kiebrani)neno uadui lina maana ya MWINDANO WA VITA kwamba kila mmoja atakuwa na chuki na wenzie. Baada ya kikao cha zaidi ya saa 6 na mganga wa kienyeji Philemon Juma Afidh wa Mavago Msumbiji,aliyempokea YESU akawa anatoa ushuhuda kujibu swali hili. Nitaleta somo kamili nikipata wasaa mzuri.


nilikuwa simwamini kivile jirani yangu mganga, kumbe wanauwezo mkubwa kiasi cha wachungaji kufanya rejea kwao.
 
Ndugu wananchi wenzangu naomba kueleweshwa, hivi nikwanini wasichana / wanawake tu Makanisani hulia na huangushwa na mapepo nyakati za maombi na kuabudu? Sikatai kua wavulana au wanaume kutokuwepo ila wasichana / wanawake wamezidi.

Asanteni..
 
Naongezea kwa miss chagga. Mwanamke kwa asili ni muoga na anayejipenda sana. Uoga wao upelekea kupatwa na pepo, pia kujipenda kwao kunawapelekea kujipaka marashi yanayowavutia pepo.
 
kwa sababu wanawake tunaongozwa na hisia ... nafsi zetu ni rahisi kupokea na kuamini haraka kuliko wanaume.... ndiyo maana utaona hata wahubiri hutumia matatizo ya wanawake kama kuwavuta kwa kuwa hisia kwanza kufikiri badae


Kwahiyo hisia zao huongozwa na mapepo?
 
nataman ingekua inawezekana ningehakikisha kumwona huyo pepo anayependa kukaa kwa wadada zetu nione anafananaje
 
Back
Top Bottom