Huna usahihi ikiwa unasisitiza kuwa unatumia logic wakati unatumia logical fallacy.Kwa vile wote wawili tunabishana.
HITIMISHO liwe kama cc Blue Bahari alivyosema kwenye post namba 71
Nim nukuu
"Binafsi kila mmoja namuaona Yuko sahihi kulingana na muktadha wa Aina ya Elimu, religion or philosophy"
Usiogope LETA UZI.Huna usahihi ikiwa unasisitiza kuwa unatumia logic wakati unatumia logical fallacy.
YeahFanya
Fanya kazi utoboe achana na blaah blaah za kiimani
Wewe ndiye unaogopa.Usiogope LETA UZI.
Usiogope binadamu ni kuuamini msimamo wako. LETA uziWewe ndiye unaogopa.
Uzi huu hapa tayari. Nilete uzi wa nini?
Thibitisha Mungu yupo.
Kwa nini unalazimisha suala la kuogopa?Usiogope binadamu ni kuuamini msimamo wako. LETA uzi
Mfano
Usikute unabishana na mganga eti Mungu yupo au hayupo kamwe hata kuelewa
Basi ngoja nikuanzishie uzi. Ni waambie wana JF kuwa kuna mtu anataka UthibitishoKwa nini unalazimisha suala la kuogopa?
Mimi siogopi, wewe ndiye unayeogopa, hujathibitisha Mungu yupo hapa, unaleta kisingizio cha kuanzisha uzi.
Kwa nini nianzishe uzi mwingine wakati muktadha mzima wa kuanzia kuongelea habari ya Mungu upo kwenue uzi huu?
Thibitisha Mungu yupo.
Wana JF wengi wanajua mimi nataka uthibitisho wa kuwapo kwa Mungu kwa miaka mingi tu.Basi ngoja nikuanzishie uzi. Ni waambie wana JF kuwa kuna mtu anataka Uthibitisho
Wa uwepo wa Mungu.