Jamani nisaidien mawazo nina milioni mbili nataka kuziingiza kwenye kilimo cha mpunga wenye uzoefu jamani naweza kutoka!
Jamani nisaidien mawazo nina milioni mbili nataka kuziingiza kwenye kilimo cha mpunga wenye uzoefu jamani naweza kutoka!
Inalipa tena sana, kama upo serious ni PM pengine tunaweza jenga ubia, kuna maeneo nayafahamu mashamba yanakodishwa kwa kilimo hicho na yapo very potential
Mkuu ni kwenye mpunga wa umwagiliaji tu ndio kwenye ushindi mnono. Ukitumika utaalamu faida ni kubwa na ya uhakika. Faida utaiona kama utavuna gunia 25 au zaidi kwa ekari moja. Million 2 zatosha eka 3. Gunia la mpunga wenye akili hutoa kilo 70 za mchele! Piga mahesabu sasa! Nitarudi..........ngoja waje akina MALILA na KUBOTA hapa,utataman uingie shamba sa hivi mkuu.
mkuu ni kwenye mpunga wa umwagiliaji tu ndio kwenye ushindi mnono. Ukitumika utaalamu faida ni kubwa na ya uhakika. Faida utaiona kama utavuna gunia 25 au zaidi kwa ekari moja. Million 2 zatosha eka 3. Gunia la mpunga wenye akili hutoa kilo 70 za mchele! Piga mahesabu sasa! Nitarudi..........