MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

Jamani nisaidien mawazo nina milioni mbili nataka kuziingiza kwenye kilimo cha mpunga wenye uzoefu jamani naweza kutoka!

Jamani nisaidien mawazo nina milioni mbili nataka kuziingiza kwenye kilimo cha mpunga wenye uzoefu jamani naweza kutoka!

Inalipa tena sana, kama upo serious ni PM pengine tunaweza jenga ubia, kuna maeneo nayafahamu mashamba yanakodishwa kwa kilimo hicho na yapo very potential
 
Inalipa tena sana, kama upo serious ni PM pengine tunaweza jenga ubia, kuna maeneo nayafahamu mashamba yanakodishwa kwa kilimo hicho na yapo very potential

MKUU HEBU NAMBIE ULIPO KWA KUNI PM ILI tuone jinsi ya kufanya tafadhali.
 
ngoja waje akina MALILA na KUBOTA hapa,utataman uingie shamba sa hivi mkuu.
Mkuu ni kwenye mpunga wa umwagiliaji tu ndio kwenye ushindi mnono. Ukitumika utaalamu faida ni kubwa na ya uhakika. Faida utaiona kama utavuna gunia 25 au zaidi kwa ekari moja. Million 2 zatosha eka 3. Gunia la mpunga wenye akili hutoa kilo 70 za mchele! Piga mahesabu sasa! Nitarudi..........
 
mkuu ni kwenye mpunga wa umwagiliaji tu ndio kwenye ushindi mnono. Ukitumika utaalamu faida ni kubwa na ya uhakika. Faida utaiona kama utavuna gunia 25 au zaidi kwa ekari moja. Million 2 zatosha eka 3. Gunia la mpunga wenye akili hutoa kilo 70 za mchele! Piga mahesabu sasa! Nitarudi..........

mkuu,bado upo njiani?tunakusubiri kwa hamu ati.
 
Yes! wataalam wa hiki KILIMO tunasubiri maujuzi! Mwaka ndo unaisha watu wanataka kuingia Front
 
Katika hili nataka kujua tangu kuanza kupanda Inakuwaje! Mbolea aina gani inatakiwa,km ni dawa za aina gani,na Ipigwe wakati gani.namna yakupanda Umbali uweje kati ya Shina na Shina na kati ya Mstari na Mstari kwa Ujumla namna yakuhudumia SHAMBA kitaalamu ili mtu apate mavuno BORA wataalam karibuni!
 
1 andaa kitaru chako cha mbegu. 2 shamba likiwa tayari ruhusu maji yaingie. 3 transplant mbegu yako siku 21 baada ya kusiha kitaruni. 4 weka DAP siku hiyo hiyo au kesho yake. 5 weka UREA baada ya siku 21, kama eneo halina rutuba ya kutosha unaweza rudia baada ya siku 21 tena. 6 kama ulipanda TXD 306 SARO gunia 35 au 40/ekari ni zako ndugu.
 
Mkuu ssl Endelea kubarikiwa thnx! kwa mwongozo! Ila bado nina maswali machache! DAP na UREA naweka wakati gani Shambani or Kwenye kiTALU kipimo chake? Kupandikiza kati ya mstari na Mstari na shina hd shina Umbali uweje?

Hii mbegu ya TXD 306 ndoile wanaita Mbegu KUBWA inayolimwa kuanzia January? Inatofauti naile ya zamani wanaiita SUPER? ambayo chakula chake kinakuwa na Harufu nzuri? hz Mbegu KUBWA ziko zaaina ngapi? naweza kujua pia tabia zake? Natanguliza shukrani ndgu karibu kwa ELIMU!
 
Mkuu ssl Endelea kubarikiwa thnx! kwa mwongozo! Ila bado nina maswali machache! DAP na UREA naweka wakati gani Shambani or Kwenye kiTALU kipimo chake? Kupandikiza kati ya mstari na Mstari na shina hd shina Umbali uweje? Hii mbegu ya TXD 306 ndoile wanaita Mbegu KUBWA inayolimwa kuanzia January? Inatofauti naile ya zamani wanaiita SUPER? ambayo chakula chake kinakuwa na Harufu nzuri? hz Mbegu KUBWA ziko zaaina ngapi? naweza kujua pia tabia zake? Natanguliza shukrani ndgu karibu kwa ELIMU!
 
Serikali imeendelea kutoa vibali vya kuagiza mchele nje hata wakati wa mavuno ya mpunga na hivyo kusababisha wakulima wa Mpunga katika maeneo mbalimbali ya Tanzania kukosa soko la mpunga.

Serikali ingekubali mchele uliozalishwa hapa ndani upelekwe nje na ule wa nje uingizwe ili kuokoa kuvurugika kwa uzalishaji wa zao hilo, kwa kuwa mwaka unaokuja wakulima wengi hawatazalisha na hivyo wananchi wengi kukosa ajira kwa kukua ni eneo kubwa linalotoa ajira,

Nchi yetu kuendelea kuwa wategemezi wa chakula kutoka nje na vilevile Halmashauri zitakosa mapato yanayotokana na uzalishaji wa zao hili.

serikali iliangalie hili kama inavyovilinda viwanda vya sukari iwalinde na hawa wakulima ambao wanategemea kilimo kuendesha maisha yao huku vijijini watakuja mjini wataleta tabu
 
Poleni sana wakulima wetu wa Mbeya; hii ndio serikali yenu SIKIVU YA CCM na bado; hapa ndipo ninapomkubali sana Karl Marx kwamba consciousness comes only when there is maximum exploitation/oppression (I have paraphrased Marx's).

Ndugu zangu wakulima sasa mtajua VIZURI madhara ya kuwachagua viongozi wachumia matumbo (CCM) wanaojikomba kwa Wahindi bila kujali wananchi.

Come 2015 shime wakulima chagueni chama na viongozi wenye uchungu wa nchi hii without whom maovu mengi tumeyajua sasa (Nina uhakika mtakuwa mmeshakuwa conscious by that time kwa sababu ya huu UNYONYAJI NA UKANDAMIZAJI MKUBWA SANA. POLENI SANA
 
gakato,
Kwa mtindo huu vijana waliokosa ajira wanahimizwa kwenda kujiajiri kwenye kilimo, mkulima anakandamizwa sana isitoshe kilimo chenyewe anategemea mvua na pembejeo ziko juu hasara tupu.Tanzania ni mabingwa wa kutunga sera nzuri lakini utekelezaji mbovu, " KILIMO KWANZA"
 
TXD 306 tanzania crossed dakawa, ni kubwa kiasi na punje yake ndefu inavutia wanunuzi. Inanukia kama wali/ubwabwa ikiwa shambani na hata ikipikwa. Tumia new recommended space ya 20 by 20. Dap ni kwa ajiri ya kuimarisha hasa afya ya mizizi ndo maana unaambiwa uiweke baada tu ya kutransplant.
 
kiasi cha mbolea nenda ofisi za kilimo pahara ulipo utasaidiwa. Mbegu hyo inanukia kama ubwabwa ikiwa shambani na hata baada ya kupikwa na ina punje nene kiasi na ndefu hyo zinavutia xsana wanunuzi.
 
mbegu hii hairefuki sana na hutoa tillering nyingi sana.
 
Back
Top Bottom