Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo gharama mpaka kuvuna? Na ekari 1 mojaa unapata gunia ngap?
Ndiyo Mheshimiwa hiyo gharama ni mpaka kuvuna, ukishavuna basi unarudisha shamba kwa mwenye nalo, kuhusu eka 1 gunia ngapi; inategemea na utakavyofuata kanuni za kilimo bora lakini si chini ya gunia 20 mpaka 40 kwa ekari.
Mmmhh mfumuko wa bei yatosha ni juzi tu kukodi heka ilikuwa paluu{20k},heka moja inatoa gunia 7 mpaka 10
Mmmhh mfumuko wa bei yatosha ni juzi tu kukodi heka ilikuwa paluu{20k},heka moja inatoa gunia 7 mpaka 10
Afu mkuu King Kong III hii avatar yako imenishinda kabisa kuizoea, hebu fanya urudishe ile ya zamani ya yule afande aliyeuchapa usingizi.
Mashamba ya watu binafsi ya kukodi kwa ajili ya kilimo cha mpunga au mahindi yanapatikana Mbarali Mbeya. Bei ya kukodi ni 200,000 kwa ekari 1.
Anayehitaji tuwasiliane.
Mashamba ya watu binafsi ya kukodi kwa ajili ya kilimo cha mpunga au mahindi yanapatikana Mbarali Mbeya. Bei ya kukodi ni 200,000 kwa ekari 1.
Anayehitaji tuwasiliane.
very funny
very funny
ni mashamba ya kumwagilia? naweza pata ekari 100 ambazo zipo pamoja?Mashamba ya watu binafsi ya kukodi kwa ajili ya kilimo cha mpunga au mahindi yanapatikana Mbarali Mbeya. Bei ya kukodi ni 200,000 kwa ekari 1.
Anayehitaji tuwasiliane.
ni mashamba ya kumwagilia? naweza pata ekari 100 ambazo zipo pamoja?
Msimu wa nini?
msimu wa kulima mpunga
nani huyo tena kabaila anapangisha aldhi?