Mjadala: Mbwana Samatta ndio mchezaji Bora wa muda wote Tanzania

Kipindi Rais Mstafu Mwinyi anatoa kauli kuwa "Taifa stars ni kichwa cha mwendawazimu" ilikuwa enzi ya wachezaji wapi! ., hili ni swali fikirishi

Tumekua tukiaminishwa kuwa wachezaji wa zamani walikua bora na wanaojitambua hapo hapo utatajiwa mara Manara ohoo! Kizota mara mara George Masatu na Upuuzi Mwingi mwingi lakini unaporudi kwenye record unagundua timu zetu kubwa walizochezea Simba na Yanga hazijawahi kufikia mafanikio ya kurudisha mfano kumbe hata Yanga imeanza kuweza kufuzu hatua ya makundi kumbe la shirikisho siku hizi hizi nadhani mwaka juzi and is so sad kwa wachezaji wa zaman!

Nawaza labda Zamani kwa sababu ya wachezaji wazuri tulokua nao labda stars ingekua ina record walau kushiriki tu AFRICON naona changa tu.

Tukubali tu wachezaji wa zamani ni vilaza tu tena hawawafikii hata hawa wa kizazi chetu, baba zetu pia hawakupambana vya kutosha kwa ajili ya Timu zetu na wanyamaze kwani record zao ni za ovyo ovyo tu.
 
Ukweli huyu ni mchezaji bora kuanzia 1961 mpaka 2025
 

Zungumzia mafanikio binafsi coz kwny team ya taifa hachezi peke yake anacheza na wachezaj wabovu kama Messi na Arg
 
Leodiger Tenga na wenzake walifikaga hadi fainali AFCON mwaka 1998 kama sikosei mbona hawatajwi?
 
Boban kacheza UEFA champions League ujue lakini tayari ana silver wear ya kombe la challenge unamlinganisha vipi na Mbwana Samatta ambaye hajafikia hivyo vitu

UEFA ipi kacheza Boban mkuu tupe kumbukumbu
 
Upo 100% sahihi mkuu ila vijiweni kwenye kahawa ndo wanatuaminisha na story zao za kina kibaden, Sunday Manara
 
2010-11 Boban alikuwa Gefle IF na hii timu ilipangwa kucheza na Liverpool ktk mechi za awali za uefa! Kabla hii mechi haijafika Haruna MOSHI akakinukisha issue za kimaslahi na contract, na hatimaye wakala wake Damas Ndumbaro akakubali yaishe, Haruna akarudi Nyumbani!
Boban kacheza UEFA champions League ujue lakini tayari ana silver wear ya kombe la challenge unamlinganisha vipi na Mbwana Samatta ambaye hajafikia hivyo vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…