Mjadala mpya: Ni nani aliwaokoa abiria 24 wa ndege ya Precision Air?

Mjadala mpya: Ni nani aliwaokoa abiria 24 wa ndege ya Precision Air?

Mhubiri 9:11 (September Eleven)

[11]Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
I returned, and saw under the sun, that the race is not to the swift, nor the battle to the strong, neither yet bread to the wise, nor yet riches to men of understanding, nor yet favour to men of skill; but time and chance happeneth to them all.
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote. [emoji848][emoji2827][emoji1545]
 
Babu wa Samunge!! Taifa likiwa limeelemewa na mgao wa umeme, anatokea shujaa mmoja aliyepewa maono kupitia ndoto anatibu magonjwa, viongozi wote wa serikali wanakiri kwenye vyombo vya habari ni kweli hiyo dawa ipo na inaponya. Matokeo tunayo kwa waliokunywa kikombe na ambao hawakunywa,waliopona na ambao hawakupona. Ni suala la muda tu, ukweli una tabia ya kujifunua wenyewe!!!! Akili shikizi.
 
Babu wa Samunge!! Taifa likiwa limeelewa na mgao wa umeme, anatokea shujaa mmoja aliyepewa maono kupitia ndoto anatibu magonjwa viongozi wote wa serikali wanakiri kwenye vyombo vya habari ni kweli hiyo dawa ipo na inaponya. Matokeo tunayo kwa waliokunywa kikombe na ambao hawakunywa,waliopona na ambao hawakupona. Ni suala la muda tu, ukweli una tabia ya kujifunua wenyewe!!!! Akili shikizi.
Ni suala la muda tu, ukweli una tabia ya kujifunua wenyewe!!!! Akili shikizi.[emoji1545][emoji1752][emoji818]
 
Mimi kuna muda huwa najiuliza swali moja tu, hivi kuna uwezekano gani kasia kuvunja mlango wa ndege, katika utengenezaji wa ndege wapo makini zaidi katika usalama wa vijaa vyake, leo iwe rahisi tu mtu avunje mlango tena sio kwa kitu kizito bali wa kasia. Hapa ndio napopata mashaka, emergency door ulifunguliwe na mhudumu wa ndani na kuokoa hawa 24.
Ndege ilidondoka hivo some part Zina break apart
 
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote. [emoji848][emoji2827][emoji1545]
Jamaa ana bahati tu
 
Katikati ya taharuki hakuna aliyehoji ni nani walimwokoa Majaliwa aliyezirai na kukimbizwa hospital.

Ulipogusa kwenye hili umenigusa! Unadhani kwa nini Majaliwa alizirai wakati hata abiria wenyewe wanathibitisha kuwa aliwaokoa?

Mkanda upi/ gani uliompiga hadi ukapelekea azirai? Huwa upo sehemu gani kwenye ndege?

By the way, ndege huwa haina mlango mmoja. Unless kama ni mlango mmoja tu uliokuwa umefunguka.
halafu inasemekana pia kuwa kuna abiria ambaye yeye alitimua mbio kali baada ya kuokolewa?

Unadhani kweli huyu mtu alikuwa mmojawapo wa wale abiria waliokuwa kwenye ndege?
 
Mpaka sasa Majaliwa 0 Social medias 5.
Screenshot_2022-11-14-12-02-42-886-edit_com.twitter.android.jpg
 
Kutoka kerebe kisiwani mpaka bukoba leo kuja kuona na mimi hiyo ndege. Yaani niko bukoba na nimeiona muda si mrefu. Kama ule mlango wa nyuma ndo mlango wa dharura basi hauna hali ya kubondwabondwa.

Upande wa mbele wameifunika turubari na wima wa mlango wa abiria napo kuna turubari, kuhusu kasia ya kawaida kabisa ya mtumbwi wa kasia basi uzito wake hauzidi kilo tatu.

Kasia huwa zinapiga tu hata mtu zinavunjika hivyo haiwezi bomoa mlango wata wa passo sijui uimara wa mlango wa ndege ila kama unafika hata uimara wa mlango tu wa kirikuu basi kasia haitofua dafu.
 
Back
Top Bottom