airmax
JF-Expert Member
- Oct 14, 2022
- 870
- 965
Mshana shauri yako... uliona alivyo tulia Bungeni.. nimepanda ndege mara kadhaa.... kweli hii kali... ene wei.. tukiwa wadogo 79's mwamba mmoja alitokea vita ya kagera akatukusanya shule zote za msingi za Kata, akatuelezea jinsi yeye mwenyewe bila msaada wa mtu aliangusha ndege vita 2 za uganda, na fimbo aliyokuwa nayo mkononi akatuhakikishia ni fimbo aliyokuw anatumia IDDI Amin sister.. tuliamini (enzi bila mawasiliano), Kagera hiyo hiyo (tetemeko halikutumwa na serikali) Kagera hiyo hiyo Kasia limegeuka ufunguo wa mlango wa ATR 42.. Kagera Land of fire...Tumeshawahoji tumeongea nao wametueleza kilichotokea ndio maana jamii inahoji