Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukemea UPUMBAVU hakuhitaji mjadala na mtu ukiona anahitaji mjadala katika swala la KIPUMBAVU maana yake nae ni MPUMBAVU,na neno MPUMBAVU siyo tusi wala kashfa..na wala haihitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu wala kujua english wala kujibaraguza kwa lugha ya kigeni...
Petero Mrefu; hebu jisikilizie katika sentenso yako hiyo kisha ujitathmini; usiogope wala kukwazika na hoja kinzani; ndio ilimu hiyo; unakakasika nini? una tatizo gani la kiakili kiasi kwamba hicho kivazi cha mwalimu kimekutesa kiasi hicho kiakili!? wewe kuona kajibwimbwi tu ka mdada darasani; ute uleeeee!; take control; idhibiti mihemuko yako; sio kila mtu yuko hivyo; you will end up in the red districts with tarts!! hakuna mada hapa wala hoja; mihemuko yako tu.
Tuonyeshe kwa vielelezo Dress code ya walimu ni ipi na ilielekezwa kwa tangazo namba ngapi la serikali na la mwaka gani? kukimbilia kusema ujinga na Upumbavu ni kuonyesha upeo mfupi wa kufikiri kwa hiyo ungetamani wale wote wenye mawazo tofauti na ya kwako wafe ili mradi wewe ushinde hoja dhaifu kama hii!! watu wenye akili zenye afya nzuri hawafanyi hivyo!
Sijasema kwamba kumuita mwenzio Mjinga au Mpumbavu ni tusi; la hasha lakini pia sio sifa!! katu humsifii mtu kwa kumuita mjinga au mpubavu! labda katika mila za kwenu sijuii; Tanganyika kubwa sana hii!
Lugha haina kujibaraguza ndugu yangu; ama unaimudu au huiwezi period! hilo halina mjadala; usione wivu kwa mtu kutumia lugha ya kiingereza! shule mpaka za kata na tuition mitaani ziko kibao! jukwaa hili halijaweka mipaka; kasome!
Nakumbuka form three au two alikuja kama dizain hii kutoka UD kwa PT yake akatufundisha "is it possible" alikuwa anakaa juu ya dawati asee kweli "it was possile. . . . . . but. ., . ."
Namkumbuka mpaka majina yake. . . . .
Tafuta andika linalohusu maadili ya kazi ya ualimu,ndio hoja yangu ilipo na hakuna mjadala hapo...sijawahi na sitawahi kuona ufahari wala sifa kwa mimi kuhudhuria darasan nakuhitimu kwa sababu sijawahi kubahatisha katika mienendo na maendeleo yangu ya kielimu(nina uwezo huo),kwangu sifa ni hiyo elimu imenisaidia nini,sasa kama mwalimu huyo anashindwa kuelewa andiko linalohusu maadili ya kazi yake,unataka kumuweka katika kundi gani zaidi ya mpumbavu???maana hata kama kashindwa kusoma ila alifundishwa kwa kusikia,sasa kuna hoja gani zaid yakusema huo ni upumbavu...walimu wana maadili yao ya kazi kuanzia mavazi hadi matendo na siyo swala la porojo za mjadala..
Mkuu Biblia inasema ukiona jicho la kushoto linakukosea ling'oe. Biblia inaendelea kusema kuwa ni Bora kwenda Mbinguni ukiwa na chongo kuliko kwenda Jehanamu ukiwa na macho mawili.Mie pia sioni tatizo kama anafundisha kokote kule, wenye matatizo ya Mwalimu kuvaa hivi darasani wana lao jambo. Nimeukuta huu mjadala mtandaoni na kuamua kuuleta hapa.
Astakhafirulah!!Na mtachomwa moto siku ya jehanamu,hakika nawaambia...Mjadala upo! Tanabahisha dress code ya mwalimu; ilitoka kwa Government notice No ngapi ya mwaka gani vinginevyo you are only trying to relate to us figments of your own imagination! Kivazi ni fasheni; fasheni zinakuja na kupita! kwa akili ya kawaida kabisa japo wengine wanasema common sense is not always common! yule mwalimu katika picha inayokutoa utee; kajisitiri vizuri tuu na kawaida kabisa; nguo imemkaa vizuri, ndefu karibu na magoti wala sio mini au suruali ya kubana! sasa wewe kwa sababu ya mihemuko yako; akili yako inaanza Kuscratch kutokana na umbo lake; wewe unataka kila mwalimu wa kike awe "armophous" yaani shapeless kama Yai? kwa akili yako hiyo kama huyo mdada angekua shapeless usingetia neno hapa! Take control ya mihemuko yako! Walimu hawana dress code; wameachwa watumie busara zao kulingana mila; desturi na maadili ya nchi yetu. hiyo shule ina mwalimu mkuu; ina bodi, ina baraza la wazazi; kuna walimu wenzie! asingevaa hivyo kama anakwaza wenzie na wanafunzi! wewe tu ndie umekwazika hujishangai?! take control of your libido; Usituletee mambo ya kihafidhina hapa; kama wewe ni Mujahedina au muumini wa itikadi za Islamic state hamia Syria na Iraq; Boko haram, Al shabab etc etc..!. hapa kwetu we are a secular state hatuna nafasi na mujahedina.
lol! ulidata weye!!! na ulikuwa mmoja wa Wanafunzi ambao hamkupenda aondoke alipomaliza PT yake.
Mjadala upo! Tanabahisha dress code ya mwalimu; ilitoka kwa Government notice No ngapi ya mwaka gani vinginevyo you are only trying to relate to us figments of your own imagination! Kivazi ni fasheni; fasheni zinakuja na kupita! kwa akili ya kawaida kabisa japo wengine wanasema common sense is not always common! yule mwalimu katika picha inayokutoa utee; kajisitiri vizuri tuu na kawaida kabisa; nguo imemkaa vizuri, ndefu karibu na magoti wala sio mini au suruali ya kubana! sasa wewe kwa sababu ya mihemuko yako; akili yako inaanza Kuscratch kutokana na umbo lake; wewe unataka kila mwalimu wa kike awe "armophous" yaani shapeless kama Yai? kwa akili yako hiyo kama huyo mdada angekua shapeless usingetia neno hapa! Take control ya mihemuko yako! Walimu hawana dress code; wameachwa watumie busara zao kulingana mila; desturi na maadili ya nchi yetu. hiyo shule ina mwalimu mkuu; ina bodi, ina baraza la wazazi; kuna walimu wenzie! asingevaa hivyo kama anakwaza wenzie na wanafunzi! wewe tu ndie umekwazika hujishangai?! take control of your libido; Usituletee mambo ya kihafidhina hapa; kama wewe ni Mujahedina au muumini wa itikadi za Islamic state hamia Syria na Iraq; Boko haram, Al shabab etc etc..!. hapa kwetu we are a secular state hatuna nafasi na mujahedina.
Mie pia sioni tatizo kama anafundisha kokote kule, wenye matatizo ya Mwalimu kuvaa hivi darasani wana lao jambo. Nimeukuta huu mjadala mtandaoni na kuamua kuuleta hapa.
Tofautisha mwl na polisi au manesi kipindi cha nyuma hasa utawala wa mwl Nyerere,alikuwa ni m2 bora sana katka waajiriwa wa nchi hii,we unadhani mwl kazi yake n kukumezesha notes 2,hata maadili hasa uvaaji...
Tofautisha mwl na polisi au manesi kipindi cha nyuma hasa utawala wa mwl Nyerere,alikuwa ni m2 bora sana katka waajiriwa wa nchi hii,we unadhani mwl kazi yake n kukumezesha notes 2,hata maadili hasa uvaaji...