Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Mwanza vs Dar es Salaam: Nani Mfalme wa Majiji Tanzania?
Hadithi Mbili za Maendeleo,Tofauti, Ushindani, Mustakabali,Utalii, Uchumi, Miundombinu bora.
Unaifahamu Dar es Salaam?

Tanzania hakuna mkoa wowote/Jiji lolote linaloweza kufanyiwa ulinganisho na Dar, labda Dar ilinganishwes na Nairobi, Harare, Kampala etc.
 
Namba nianze mwenye miundombinu .
Daraja la Magufuli (linalojulikana pia kama Kigongo-Busisi Bridge) ni daraja refu lenye urefu wa kilomita 3.2 ambalo linajengwa kuvuka Ziwa Victoria, likiunganisha maeneo ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza.
Screenshot_20240916-163734.png
 
Back
Top Bottom