ππππππππ.Oyy okay hayo n mawazo yk, lakini pia kwanza ni jiji ambalo lina vigezo vyote
Huo ndio uhalisia.
Tukianza na GDP Dar peke yake inachangia zaidi ya 40% ya GDP ya Tanzania kama sijakosea.
Mwanza inachangia ngapi!?
Kuja kwenye uwekezaji wa biashara,viwanda,ujasiriamali mdogo hadi mkubwa Dar kuna idadi kubwa ya wafanyabiashara kuliko Mwanza na matajiri wakubwa wa hii nchi wako Dar.
Kulingana na kuwepo na idadi kubwa ya wakaazi takriban milion 6 imechagiza ukuaji wa biashara zaidi kulingana na hitajiko kubwa la uhitaji.
Dar takriban yote imejengeka,kila unapoenda Dar hukosi magorofa hata uende Chanika ndani ndani.