Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Aaah wee thubutu embu jishikilie mkuu.
Lete mtaa mmoja wa Mwanza nikupigie mfano wa mtaa mmoja ulojengwa na wapemba tu wauza pweza hapo Kigamboni.
Ilemela ina Stend ya Nyamhongolo,Ina CCM kirumba,Ina Mwanza Airport na Hospital ya Mkoa SekouToure! Rock city mall nk
Kwa akili zako utakuja kusema Kigamboni imejengeka kuliko Nyamagana!
Ukiwa Dar unajua Mikoani watu hawajengi wako wamekaa tu!
Punguza vumbi la kukaa Dar zungukq ujionee!
IMG-20240915-WA0086.jpg
IMG-20240910-WA0131.jpg
IMG-20240910-WA0131.jpg
IMG-20240827-WA0173.jpg
IMG-20240910-WA0131.jpg
IMG_20240713_173815.jpg
IMG_20240713_173229.jpg
 
Mwanza yote naijua,Dar yote naijua,mwanza linganisha na arusha au dodoma huko,capri point ndio masaki yamwanza ila unaizunguka kwa miguu dakika 5,masaki utaizinguka siku nzima
Airport ya mwanza ni kituko,
Barabara za mwanza bado sana ukiacha hiyo ya kwenda airport zingine gakuna kitu.
Dar ina watu milioni 6
Mwanza sijui kama wanazidi milioni 2
Viwanda,viwanja vya starehe,viwanja vya mpira,kirumba ni ukubwa tu ila hamna kitu,nyamagana ni uwanja wa mazoezi palekarume TFF,
Linganisha mwanza na Dodoma mkuu
Mwanza ina watu Milion 3.6 wewe unafikiria Mwanza ni kijiji cha Chanika!
 
Tofauti kubwa ya Dsm na Mwanza ni miundombinu ya barabara tu, na zile scrapera za Dsm zile tatu, Mwanza nayo ingekua inapendelewa kujengewa miundombinu ya barabara kama Dsm, Basi Dsm ingekula vumbi tu, Mitaani Mwanza ina battle vizuri tu maana asilimia kubwa ya Dsm ni uswazi tu
 
Hawawezi kukuelewa ila nijuavyo mimi Dar kwa ujenzi wa huku mtaani aa watu binafsi haiwezi kuizidi Mwanza!
 
Tofauti kubwa ya Dsm na Mwanza ni miundombinu ya barabara tu, na zile scrapera za Dsm zile tatu, Mwanza nayo ingekua inapendelewa kujengewa miundombinu ya barabara kama Dsm, Basi Dsm ingekula vumbi tu, Mitaani Mwanza ina battle vizuri tu maana asilimia kubwa ya Dsm ni uswazi tu
True,dar inapabwa sana na serikali lakin ...
 
Tofauti kubwa ya Dsm na Mwanza ni miundombinu ya barabara tu, na zile scrapera za Dsm zile tatu, Mwanza nayo ingekua inapendelewa kujengewa miundombinu ya barabara kama Dsm, Basi Dsm ingekula vumbi tu, Mitaani Mwanza ina battle vizuri tu maana asilimia kubwa ya Dsm ni uswazi tu
Huijui dar ndugu yangu,mbweni ununio,mbezi beach,kunduchi,masaki salasala,oysterbay,mikocheni msasani kwa pamoja ni zaidi ya mwanza yote
 
Ilemela ina Stend ya Nyamhongolo,Ina CCM kirumba,Ina Mwanza Airport na Hospital ya Mkoa SekouToure! Rock city mall nk
Kwa akili zako utakuja kusema Kigamboni imejengeka kuliko Nyamagana!
Ukiwa Dar unajua Mikoani watu hawajengi wako wamekaa tu!
Punguza vumbi la kukaa Dar zungukq ujionee!
View attachment 3097651View attachment 3097652View attachment 3097652View attachment 3097653View attachment 3097652View attachment 3097654View attachment 3097655
Mkuu nikikuita we punguani nimekukosea!??
Post nilokujibu ulisema kuwa Dar inapendelewa na serikali.
Ila ukiondoa mashirika ya serikali Dar kimakazi inaweza kushindanishwa na Mwanza.
Je stendi sio serikali?
Airport sio ya serikali?
Au kuna airport za watu binafsi siku hizi??
 
Rock city hiyo
 
Mimi nimekwambia nioneshe Kigamboni yako tuione hapa na majengo yake ambayo inaizidi Ilemela!
 
Msidanganyane mkuu na hizo pumba zenu.
Ukitoa bandari Dar ina mass industries hata ya kushindana na hiyo Nairobi.
Pia ina uwekezaji mkubwa wa sekta zingine hususan sekta za kifedha.
Hao kina Ghalib Said viwanda vya GSM vipo Dar.
Mohammed Dewji viwanda makao makuu vipo Dar.
Said salim Bakhresa viwanda vikuu vipo Dar.
Kuna viwanda vingine viiingiiii saanaa kila wilaya.
Viwanda vingi vipo pwani
 
Back
Top Bottom