Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Unajua kuna mtu anaamini kabisa Mwanza ni kamji kadogo hivi kasikokuwa na maana!
Mtu akipanda daladala Usagara mpaka Ilemela ni Kolometer sio chini ya 35 lakini kote ni mji tu na pote pa moto!
Naona wameshakalili maisha Usagara mpaka makao makuu ya manispaa ya Ilemela kule Buswelu ni kama 45km na kote mji umejengeka
 
Sie tunazungumzia Ilemela na Kigamboni elewa!
Mie nimemjibu huyo sio wewe.
Wewe rudi kule nikupe dozi.
Umeona cluster ya magorofa??
Na bado inajengwa kigamboni.
Hapo nimekuletea Somangira tu subiri nikuletee Kata ya Kibada na Kisiwani.
Screenshot_2024-09-16-19-04-37-81_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-16-19-08-31-83_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-16-19-09-12-60_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Dsm asilimia 96% ni uswazi tu, raia wanaishi maisha magumu kinoma kwenye vijumba vya ajabu ajabu
Uswazi ya Daresalaam huwezi fananisha na nyumba za kimasikini za Mwanza.
Dar ni mji ambao unakupa kila aina ya maisha mzee.
Na sasa hivi huu mji unaanza kurekebishwa hadi uswazi kunavunjwa taratibu taratibu.
 
Kufeck maisha kwa watu wa Dar kunawaumiza sana!
Cha ajabu wanaamini Dar ni paradise yao kumbe wanapotea!
Mkuu hauna pesa wewe.
Wenzako wanazo na wanaishi maisha mazuri.
Hizo gorofa ambazo nimekuonesha ni za makazi zilizokamilika upande wa Muongozo zimeshanunuliwa tena na waswahili pure kabisa.
Zingine za gorofa moja moja zimeshanunuliwa zimeisha.
Bado hizo zingine zinajengwa.
Hiyo ni Kigamboni.
Pesa hauna wewe msukuma.
 
Mie nimemjibu huyo sio wewe.
Wewe rudi kule nikupe dozi.
Umeona cluster ya magorofa??
Na bado inajengwa kigamboni.
Hapo nimekuletea Somangira tu subiri nikuletee Kata ya Kibada na Kisiwani.View attachment 3097678View attachment 3097679View attachment 3097680
Usiniletee haya magofu ya Dege huko maana tayari ni magofu hayo!
Nikwambie tu hakuna nyumba kali ya ajabu kigamboni utaikosa Ilemela wadanganye wasiojua Kigamboni!
Kwanza Kigamboni nzima hakuna hotel kama Malaika Beach ruka urukavyo!
 
Mkuu hauna pesa wewe.
Wenzako wanazo na wanaishi maisha mazuri.
Hizo gorofa ambazo nimekuonesha ni za makazi zilizokamilika upande wa Muongozo zimeshanunuliwa tena na waswahili pure kabisa.
Zingine za gorofa moja moja zimeshanunuliwa zimeisha.
Bado hizo zingine zinajengwa.
Hiyo ni Kigamboni.
Pesa hauna wewe msukuma.
Nimekwambia hakuna nyumba kali kigamboni kuzidi nyumba zote Ilemela sahau!
 
Usiniletee haya magofu ya Dege huko maana tayari ni magofu hayo!
Nikwambie tu hakuna nyumba kali ya ajabu kigamboni utaikosa Ilemela wadanganye wasiojua Kigamboni!
Kwanza Kigamboni nzima hakuna hotel kama Malaika Beach ruka urukavyo!
😂😂😂😂😂😂Huijui Kigamboni kijana.
Hapo nimekuletea picha nne.
-Mwongozo.
-Dege(ndio hizo hazijakamilika ambazo hazina rangi)
-Mji mwema.
-Somangika Avic town.

Wewe unasema unaijua Kigamboni!!?
Hata hizo picha umeshindwa kuzing'amua.
Bado nipo job ila nakaribia kufunga kazi nikiwa narudi nakupigia picha uione Kibada kijana.

Pia nakuletea hotel unazozitaka kutoka Kigamboni.
 
Back
Top Bottom