Inspector Jws
Senior Member
- May 23, 2024
- 126
- 242
Unaifahamu Dar es Salaam?Mwanza vs Dar es Salaam: Nani Mfalme wa Majiji Tanzania?
Hadithi Mbili za Maendeleo,Tofauti, Ushindani, Mustakabali,Utalii, Uchumi, Miundombinu bora.
Atakuwa haifahamu Dar!Kua serious.
Kivip ndugu yangKua serious.
Tatizo dar yenyewe hujafika bado, ebu toka huko mwanza uje dar kwanza ukutane na wazawa wa mjini na wazee wa ku-manipulate mfumo😂
Tatizo umekalili fanya uje MWANZA ulione jiji la miamba.Tatizo dar yenyewe hujafika bado, ebu toka huko mwanza uje dar kwanza ukutane na wazawa wa mjini na wazee wa ku-manipulate mfumo😂
Is Rock City only.There is only one city in Tanzania.
Others ere affiliated municipals.
Hebu acha utoto basiMwanza vs Dar es Salaam: Nani Mfalme wa Majiji Tanzania?
Hadithi Mbili za Maendeleo,Tofauti, Ushindani, Mustakabali,Utalii, Uchumi, Miundombinu bora
Na ukitaka kutengeza pesa pia ishi Dar es salaamUkitaka comfortable life la kuishi kama binadamu, ishi mwanza na mikoa mingine ila kama unapenda kukimbizana kama mifugo ishi DAR.
NB: Wenye pesa ndiyo wanaenjoy kukaa Dar.