Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Unaleta Nyumba za mashirika, huko hakuna msuri wa mtu imagine mwanza haijawahi kujenhewa mradi wowote wa nyumba kama hizo na bado tunawakimbiza tu
Hizo nyumba zinagawiwa bure kwani!??
😂😂😂😂Bro mbona unataka kuchekesha watu!??
Unajua hapo floor moja ni shingapi!?
Gorofa za Kijichi zimekamilika ndani ya mwaka zote zimenunuliwa kila floor ni Tzsh 250+ millions.
Ingekua watu hawana ubavu serikali na mashirika wasingejenga.
Ukiona watu ama shirika linawekeza sehemu jua hiyo sehemu ina pesa na watu wanajiweza.
 
Mi nakaa Jijini Mwanza, lakini kutulinganisha na Dar huo ni unafiki na kejeli kwetu wa Jiji la Mwanza.
 
Acheni utani basi, we mtoa mada, unazngua.. Mwanza ipambanishe na Mzuzu, Arusha, Dodoma, Mbeya, Tanga,
Bujumbura, Entebe, Kitwe,
Mwanza imepitwa na Lilongwe, Lusaka,Bulawayo, Mombasa, Unguja, Zomba, ambapo haya majiji yoote hayaisogelei Dar hata kwa Dawa..
Dar ni level za Nairobi, Harare, Beira, Beirut, Luanda n.k
Tembea uone,usijifungie huko ulipo
 
Ds
Dsm pa hovyo sana,
 
Hata matajiri wakubwa wanalipia Kodi dar ndo iko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…