Unaijua Avic town Kigamboni?Leta
Neighborhood za Dsm, achana na Samia scheeme zenu
Hiyo sio ya serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaijua Avic town Kigamboni?Leta
Neighborhood za Dsm, achana na Samia scheeme zenu
Unaijua Mikocheni?Leta
Neighborhood za Dsm, achana na Samia scheeme zenu
Hapa Mwanza kaka?
Hizo nyumba zinagawiwa bure kwani!??Unaleta Nyumba za mashirika, huko hakuna msuri wa mtu imagine mwanza haijawahi kujenhewa mradi wowote wa nyumba kama hizo na bado tunawakimbiza tu
White elephant,Unaijua Avic town Kigamboni?
Hiyo sio ya serikali.View attachment 3103613
White elephant people are buying the houses!??White elephant,
Rock City paradise of the world
Dsm pa hovyo sana,Acheni utani basi, we mtoa mada, unazngua.. Mwanza ipambanishe na Mzuzu, Arusha, Dodoma, Mbeya, Tanga,
Bujumbura, Entebe, Kitwe,
Mwanza imepitwa na Lilongwe, Lusaka,Bulawayo, Mombasa, Unguja, Zomba, ambapo haya majiji yoote hayaisogelei Dar hata kwa Dawa..
Dar ni level za Nairobi, Harare, Beira, Beirut, Luanda n.k
Tembea uone,usijifungie huko ulipo
Hata matajiri wakubwa wanalipia Kodi dar ndo iko hivyoAcha kukariri madesa, Dar ni 17% na Mwanza ni 9%, na kingine kinachosababisha ilo gap la GDP ni kuwa uchumi wa nchi wameu centralize Dar, HQ nyingi zipo Dar, na kila muhamala unaofanya kwa njia ya simu mapato yanahesabiwa Dar, mf brela n.k, hata mizigo mtu wa Mwanza kaagiza magari Japan lakini mzigo ukifika bandari ya Dar mapato yote, ushuru, kila kitu kinahesabiwa Dar, mtu wa mbeya analima mazao yanapelekwa Dar kufanyiwa processung na mapato yote yanahesabiwa Dar, mikoa ya Tanzania inatumika kuijenga Dar kiuchumi, mbali na hayo lakini Mwanza bado inaonesha mabavu kwa Dar, Mwanza haina mbeleko lakini inafukuza mwizi taratibu.