Ukisikia uongo ndo huu,we kila siku unakesha kule JF usiku wa manane,uliniota saa ngapi? Kama ni ndoto za mchana hizo sio za kweliMimi nimekwisha kuota wewe zaidi ya mara 3 naona usenior umekwisha mama. Bado uhalisia tu
Toka nimepotea kule leo siku ya ngapi sijapita kule huwa nawahi kisa kukuota wewe.Ukisikia uongo ndo huu,we kila siku unakesha kule JF usiku wa manane,uliniota saa ngapi? Kama ni ndoto za mchana hizo sio za kweli
Performance ya VIUNGO VINGINE sharti iwe safi mkuu. Maana umesema na mazoezi unafanyaLife expectancy....guarantee ya perfomance ya viungo vingine sijui!
Nami ngoja nipotee kule,nione kama ndoto zetu zitagongana! 🙂🙂🙂Toka nimepotea kule leo siku ya ngapi sijapita kule huwa nawahi kisa kukuota wewe.
Believe me!
Ng'ombe hazeeki maini. Wahenga walisemaI can not guarantee when I'm 50/60
Kwa kukuota huku zaidi ya mara 3 naona imebaki uhalisia bibieNami ngoja nipotee kule,nione kama ndoto zetu zitagongana! 🙂🙂🙂
Mbn unacheka[emoji3][emoji3][emoji3]
Amani mkuu kuwa huru katika maamuzi yako.Duh mkuu taratibu. Ni uamuzi binafsi tu, wapo ambao hawajali wanaoa yeyote.
Acha uoaga wewe, nikwambie tu kitu kimoja ni kheri ulee mtoto ambae unajua kabisa sio wako tangu awali kuliko kulea mtoto ambae unajua ni wako kumbe sio wako na unakuja kujua baadae, utakufa kwa stroke na hii tabia mara nyingi ufanywa na hao mnao waona ni brand newUsitoke povu kijana, ni mtazamo wangu!!
Shea chochote ila sio mke, wahenga walisema "mtalaka hatongozwi", na mapenzi ya wawili hao kamwe hayafi!!
Do it at your own risk!!
Hata mimi nashangaaTuwaulize tu hao single moms watoto waliwapata wapi? Wao ndo wasababishi halafu wanajifanya wanawatenga watoto /Dada /mama zetu
Siku ukitaka na wao watakuwa hawataki,hapo ndipo shughuli huanzaMimi cha kwanza sitaki kuolewa na mwanaume mwenye mtoto we mungu nisaidie,
--sitaki kuolewa na mwanaume chini ya miaka 27
--sitaki kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma ee mungu nisaidie.....
Lkn bado sijaona sababu ya mimi kuolewa coz kwangu siyo lazimaa
SawaSiku ukitaka na wao watakuwa hawataki,hapo ndipo shughuli huanza
Ooooh! Afadhali. Maana migongano sio vizuri, itasababisha foleni iwe ndefu.Huh! Huh!.....Kila la heri dear,nakutakia mafanikio mema katika ndoto yako! Hapo ndoto yangu haitasababisha mgongano wa kimaslahi.