MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Ukisikia uongo ndo huu,we kila siku unakesha kule JF usiku wa manane,uliniota saa ngapi? Kama ni ndoto za mchana hizo sio za kweli
Toka nimepotea kule leo siku ya ngapi sijapita kule huwa nawahi kisa kukuota wewe.

Believe me!
 
Changamoto nyingine ni baadhi ya watu kudhani kuwa umefika umri huo bila kuoa/kuolewa kwa sababu aidha unachagua sana au una tabia mbaya zilizosababisha ukose mwenza
 
Hahahaaaaa!! Kwahiyo na wewe umeshapanga wa kumuota!!
Nataka nimuote Kaizer.
Huh! Huh!.....Kila la heri dear,nakutakia mafanikio mema katika ndoto yako! Hapo ndoto yangu haitasababisha mgongano wa kimaslahi.
 
Duh mkuu taratibu. Ni uamuzi binafsi tu, wapo ambao hawajali wanaoa yeyote.
Amani mkuu kuwa huru katika maamuzi yako.
Usitoke povu kijana, ni mtazamo wangu!!
Shea chochote ila sio mke, wahenga walisema "mtalaka hatongozwi", na mapenzi ya wawili hao kamwe hayafi!!
Do it at your own risk!!
Acha uoaga wewe, nikwambie tu kitu kimoja ni kheri ulee mtoto ambae unajua kabisa sio wako tangu awali kuliko kulea mtoto ambae unajua ni wako kumbe sio wako na unakuja kujua baadae, utakufa kwa stroke na hii tabia mara nyingi ufanywa na hao mnao waona ni brand new
 
Mimi cha kwanza sitaki kuolewa na mwanaume mwenye mtoto we mungu nisaidie,
--sitaki kuolewa na mwanaume chini ya miaka 27
--sitaki kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma ee mungu nisaidie.....

Lkn bado sijaona sababu ya mimi kuolewa coz kwangu siyo lazimaa
Siku ukitaka na wao watakuwa hawataki,hapo ndipo shughuli huanza
 
Changamoto nyingine ni baadhi ya watu kudhani kuwa umefika umri huo bila kuoa/kuolewa kwa sababu aidha unachagua sana au una tabia mbaya zilizosababisha ukose mwenza
Mbona wewe hujasema changamoto gani inakukabili ?
 
Mkuu apo umri mbona kama sawa tu mkuu??, ila sasa hao itabidi uishi nae kam mvulana vile io ndio problem yao.
 
Huh! Huh!.....Kila la heri dear,nakutakia mafanikio mema katika ndoto yako! Hapo ndoto yangu haitasababisha mgongano wa kimaslahi.
Ooooh! Afadhali. Maana migongano sio vizuri, itasababisha foleni iwe ndefu.
 
Back
Top Bottom