MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Sasa mkuu huku ni kuharibiana tusio na watoto duuh!!
 
Usio mwenye mtoto ,mke wa MTU huyo
Changamoto nikukosa ukamilifu wa mambo fulan katk ratb zako za kila siku
 
Hahahaaa! Si unajua unaweza ukampata mwenye vigezo unavyovitaka alafu wewe ukawa hauna vigezo anavyovitaka, ndio hapo unasikia "anachagua sana"!!!
Hii ni kweli kabisa. Unaemtaka hakutaki,anaekutaka humtaki! Ila sidhani kama hamna mtu mwenye vigezo.
 
Kitu kingine kikubwa utakuja kuwa na watoto ambayo utawalea hadi uzeeni mwako wakiwa bado wadogo
(Hilo ndio kubwa ninaloliogopa kwangu )/
Labda kama ushazalisha nje walau 1#
 
Usiombe kukutana na class mates wa enzi hizo, Dah! Maswali mia na kidogo!
"Jamani kwanini haujaolewa!! Unachagua sana jamani!!"
Utadhani wao walijibebea tu. Alafu akijisahau anaanza kukuelezea majanga yake na kukutamania wewe ambae haujaolewa basi tafrani tu!!
Haya mambo bwana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…