Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Yaani acha tu, maswali yanakuwa meengi na connectios zinaanza lol!! Unashangaa wageni hawakauki nyumbani. Cc Heaven SentChangamoto nyingine ni baadhi ya watu kudhani kuwa umefika umri huo bila kuoa/kuolewa kwa sababu aidha unachagua sana au una tabia mbaya zilizosababisha ukose mwenza