tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
Nadhani yy amejisikia vibaya zaidi yako haswa kama anatamani kuwa na familia lkn mambo hayajakaa sawa.hii jamani nimejikuta asbh ya leo nampigia simu rafiki angu nimesomaga naye mbeye miaka hyoo namuuliza una watt wangap akasema hana ht 1 na hajaolewa nilijiskia vby ! sijui y nimerukia huko !dah
Hahaa wewe wa kunifanyia hivi kweli?Huyo bana mimi alinipiga kibuti....sasa hivi ningekuwa nishaoa! Muache aendelee kuchagua!
Hahhaa hukawii kuletewa na Wachungaji wakuombeeYaani acha tu, maswali yanakuwa meengi na connectios zinaanza lol!! Unashangaa wageni hawakauki nyumbani. Cc Heaven Sent
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyu uliem-cc anahusikaje? Anachagua sana au?
Nadhani yy amejisikia vibaya zaidi yako haswa kama anatamani kuwa na familia lkn mambo hayajakaa sawa.
Hivi umesahau lile tangazo lake na vile vigezo vyake vilivyotutoa nishai?Ndio ile ana vigezo unavyovitaka ila hauna vigezo vyake maybe!!
Haya mambo mgumu sana.
Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ilitakiwa wanawake eti tusiwe na choices yaani mwanaume akiona una vigezo anavyovitaka basi kubali olewa fullstop!! Eti kuchagua chagua tunawafanya mchelewe kuoa.
Kuna watu nikiwaambia nakaaga ndani siku mbili hawanielewi........inabidi maana unakuta huko nje huna tena ile kampani uliyoizoea.Nimependa hapo
Waweza jikuta walala ndani weekend nzima
Wacha nifukue kaburi,nijipime nione kama hiki kiatu ni saizi yangu au lah!Hivi umesahau lile tangazo lake na vile vigezo vyake vilivyotutoa nishai?
Mi nawaza hivii ukiolewa ili mradi tu kuolewa hujampenda huyo mme siku akiugua unamuuguzaje,,(nilivyo na kinyaa kwa mtu ambae hayupo moyoni )
Siku akiishiwa pesa itakuwaje?maana uliolewa tu ili mradi jamii ione nawe umeolewa
Na ndoa ni mjumuiko wa mambo mengi sana sio ngono tu
Tunaowapenda hawatuoi ,sijui tutaolewa na kina nani
Mim mtu ambae naweza kuishi nae ni mmoja tu huyo hata akiugua naweza kumuuguza hata akijinyea naweza mtawaza maana nampenda simuoneagi kinyaa
Mim kama hatonioa huyo nitakaa tu bana mpaka atokee mwingine atakaeniingia kichwani sana
maana wengine sitokuwa na mapenzi nao halaf watanikifu hahaahhaha
Hahaha kila la kheriWacha nifukue kaburi,nijipime nione kama hiki kiatu ni saizi yangu au lah!
Uhitaji unakuja automatic?Bado huna uhitaji.
Kwa mtu ambae simpendi tunapoteza muda tu kuna vitu siwezi mfanyia kama yule alie moyoni kabisadah !una kinyaa namna hyo? hahaha ! duh !nakosa cha kusema !ila fanya yoooote usiolewe na mtu ambaye hujamfeel itakusumbua ! mie hata week 4 nisingewez ningemwambia direct kbs !ila watu wa hvyo wapogo
Mkuu kwani bado tu?Hebu ngoja nifikirie!!!
Singlemoms wengi ndo wale waloolewa kwny miaka ya kuanzia 23/24 mpk 30/35 kwa asilimia kubwa.... Wengi they dnt care about kuumizwa so endapo ukimpata tu inakua shida....Habari za jumatatu,
Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;
1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.
2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.
3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.
Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Mi napenda niolewe na mtu mwenye miaka 38-45
Akiwa na 60 basi aw kama mengi hehehehehe sijui ntampata wapi
Kwa mtu ambae simpendi tunapoteza muda tu kuna vitu siwezi mfanyia kama yule alie moyoni kabisa
Nna kinyaa mie,,,we ukiolewa mme akiugua lazima umuuguze akijinyea si utamsafisha hebu sasa humpendi huyo mtu utawezaaa???
Unaweza muacha siku hiyo hiyoNGUMU