MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Mi nawaza hivii ukiolewa ili mradi tu kuolewa hujampenda huyo mme siku akiugua unamuuguzaje,,(nilivyo na kinyaa kwa mtu ambae hayupo moyoni )
Siku akiishiwa pesa itakuwaje?maana uliolewa tu ili mradi jamii ione nawe umeolewa
Na ndoa ni mjumuiko wa mambo mengi sana sio ngono tu
Tunaowapenda hawatuoi ,sijui tutaolewa na kina nani
Mim mtu ambae naweza kuishi nae ni mmoja tu huyo hata akiugua naweza kumuuguza hata akijinyea naweza mtawaza maana nampenda simuoneagi kinyaa
Mim kama hatonioa huyo nitakaa tu bana mpaka atokee mwingine atakaeniingia kichwani sana
maana wengine sitokuwa na mapenzi nao halaf watanikifu hahaahhaha
 
Wengine hatuna pesa ya kuhandle masista duu wa kipindi hiki cha Mjomba.. Tutabaki kuwa wapenzi watazamaji tu na kila mwanamke tupo tayari kumwita shemeji
 
Ndio ile ana vigezo unavyovitaka ila hauna vigezo vyake maybe!!
Haya mambo mgumu sana.

Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ilitakiwa wanawake eti tusiwe na choices yaani mwanaume akiona una vigezo anavyovitaka basi kubali olewa fullstop!! Eti kuchagua chagua tunawafanya mchelewe kuoa.
Hivi umesahau lile tangazo lake na vile vigezo vyake vilivyotutoa nishai?
 
Mi nawaza hivii ukiolewa ili mradi tu kuolewa hujampenda huyo mme siku akiugua unamuuguzaje,,(nilivyo na kinyaa kwa mtu ambae hayupo moyoni )
Siku akiishiwa pesa itakuwaje?maana uliolewa tu ili mradi jamii ione nawe umeolewa
Na ndoa ni mjumuiko wa mambo mengi sana sio ngono tu
Tunaowapenda hawatuoi ,sijui tutaolewa na kina nani
Mim mtu ambae naweza kuishi nae ni mmoja tu huyo hata akiugua naweza kumuuguza hata akijinyea naweza mtawaza maana nampenda simuoneagi kinyaa
Mim kama hatonioa huyo nitakaa tu bana mpaka atokee mwingine atakaeniingia kichwani sana
maana wengine sitokuwa na mapenzi nao halaf watanikifu hahaahhaha

dah !una kinyaa namna hyo? hahaha ! duh !nakosa cha kusema !ila fanya yoooote usiolewe na mtu ambaye hujamfeel itakusumbua ! mie hata week 4 nisingewez ningemwambia direct kbs !ila watu wa hvyo wapogo
 
Kwa mtu ambae simpendi tunapoteza muda tu kuna vitu siwezi mfanyia kama yule alie moyoni kabisa
Nna kinyaa mie,,,we ukiolewa mme akiugua lazima umuuguze akijinyea si utamsafisha hebu sasa humpendi huyo mtu utawezaaa???
 
Habari za jumatatu,

Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.

Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;

1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.

2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.

3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.

Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Singlemoms wengi ndo wale waloolewa kwny miaka ya kuanzia 23/24 mpk 30/35 kwa asilimia kubwa.... Wengi they dnt care about kuumizwa so endapo ukimpata tu inakua shida....
 
Mi napenda niolewe na mtu mwenye miaka 38-45
Akiwa na 60 basi aw kama mengi hehehehehe sijui ntampata wapi

wanaume wenye age hizo jaman km anajitambua uwiii watamu mno !yaan unajikuta automatic unamheshim !mwanaume age hizo asbh akiamka weeknd utamkuta anafanya ht usafi nje garden napenda sana kumuona mume wangu ameshika mkasi anafanya kuprun maua nk ! yaan unajikuta moyo mweupeee unasema kweli nina mume ! atafanya usafi wa fence weee had asweat !sasa ww olewa na hawa wa 30-35!wasojitambua ! utakuwa unajing'ata tu midomo !akiamka anawaza akanywe wapi supu na tu-bia twa kuzugia weekend (wanasemaga hvyo,) pyeeeeeee! komaa utampata mamy !
 
Kwa mtu ambae simpendi tunapoteza muda tu kuna vitu siwezi mfanyia kama yule alie moyoni kabisa
Nna kinyaa mie,,,we ukiolewa mme akiugua lazima umuuguze akijinyea si utamsafisha hebu sasa humpendi huyo mtu utawezaaa???

NGUMU
 
Back
Top Bottom